Uchaguzi 2020 CCM wajipanga kumng'oa Halima Mdee Jimbo la Kawe

Duh...!. Mimi mwenyewe naishi Kawe na nilipanga..
P
Mkuu bora uahirishe usije ukaambulia aibu! Hao wenzio wenyewe wanategemea nguvu ya wizi wa kura hadharani maana najua kama sanduku la haki bin haki wa kumtoa Halima bado hajazaliwa! Kipi bora abaki na u-DC wake asije akakosa vyote!
 
Kipi Baba lao [emoji1436]‍♂️[emoji1436]‍♂️[emoji1436]‍♂️ Nyangwine anatia timu kawe
 
CCM waanataka kumuondoa Mdee ktk ubunge ili wananchi wawe na furaha! kweli ccm tukiwasema mnasema tunawatukana! Da! Mh!
 
CCM haimuwezi Mdee hata siku moja na imeshindikana hanunuliki hadi Mwenyekiti ghafla wao anajua
 
kweli Halima jembe lakini limechomekwa kwenye mpini dhaifu. hata ikibidi majimbo yote yawe YA CCM 2020 sawa tu sisi tunataka maendeleo.na CCM imejipambanua kwamba kumbe inaweza kusimamia na kufanya mambo.
 
CCM wazee wa kucheza rafu za waziwazi.....walinichekesha sana pale kinondoni walipoamua kuachana na wizi wa kura wa kujificha wakaamua kukimbizana na mabox ya kura mchana nchana kweupe bila aibu....wakisaidiana na washirika wao wa wizi !!Policcm
 
Nawaomba wananchi hasa wa Dar es Salaam tuache kwenda kwenye mikusanyiko ya Makonda ili kuepuka Corona. Tukisubiri kwamba kuna mtu atamkemea Makonda, tutaishia kufa tu na asitokee wa kumkemea. Kwa ujumla hakuna mwenye ubabavu wa kumkemea Makonda, hayupo. Si cha PM wala waziri wa Afya. Bashite yupo juu ya viongozi wote isipokuwa yule mwandani wake ambaye wanashirikiana siri ambayo kila mtu haijui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…