Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Kwani ukiwa mgombea ukiulizwa Mambo mabaya uliyowahi kutenda na jinsi utakavyofanya ili usiyarudie tena unakuwa umekashifiwa?Muuliza swali ni kiherehere tangu shule namfahamu na alifukuzwa Udsm Kwa ajili hiyo, sasa ivi anajiita wakili wa mchongo hapa mjini ..nahisi alitumwa na halikuwa swali ni kashfa na msimamizi alishasema hataki kejeli wala kashfa.
Kwani ukiwa mgombea ukiulizwa Mambo mabaya uliyowahi kutenda na jinsi utakavyofanya ili usiyarudie tena unakuwa umekashifiwa?
Nani hajui Thomas Sabaya akiwa DC Serengeti Kwa kushirikiana na OCD na DSO waliamuru kuchomwa nyumba za Wananchi? Nani hajui watu hao walistaafishwa Kwa kashfa hiyo?
Kwani ukiwa mgombea ukiulizwa Mambo mabaya uliyowahi kutenda na jinsi utakavyofanya ili usiyarudie tena unakuwa umekashifiwa?
Nani hajui Thomas Sabaya akiwa DC Serengeti Kwa kushirikiana na OCD na DSO waliamuru kuchomwa nyumba za Wananchi? Nani hajui watu hao walistaafishwa Kwa kashfa hiyo?
Makatili yote yamejificha ndani ya CCMKwani ukiwa mgombea ukiulizwa Mambo mabaya uliyowahi kutenda na jinsi utakavyofanya ili usiyarudie tena unakuwa umekashifiwa?
Nani hajui Thomas Sabaya akiwa DC Serengeti Kwa kushirikiana na OCD na DSO waliamuru kuchomwa nyumba za Wananchi? Nani hajui watu hao walistaafishwa Kwa kashfa hiyo?
Lakini kuulizwa kuhusu ukatili wao inaitwa kashfa!! Huko CCM Mtu katili fahari Kwa Chama.Makatili yote yamejificha ndani ya CCM
Muhimu uweze kutoa rushwa pekeeLakini kuulizwa kuhusu ukatili wao inaitwa kashfa!! Huko CCM Mtu katili fahari Kwa Chama.
Huyo jamaa inaonekana alianza kujitambua muda sana mtu anauliza swali ambalo lilimfanya astafishwe wewe unasema ni kiherehere daah aisee ninyi ndio mnachagua Viongozi kazi ipo...Muuliza swali ni kiherehere tangu shule namfahamu na alifukuzwa Udsm Kwa ajili hiyo ...sasa ivi anajiita wakili WA mchongo hapa mjini ..nahisi alitumwa na halikuwa swali ni kashfa na msimamizi alishasema hataki kejeli wala kashfa..
Wewe unaonesha kwa namna gani unatawaliwa na unafiki, au unapenda maswali yanayofurahisha nafsi ili iweje.Muuliza swali ni kiherehere tangu shule namfahamu na alifukuzwa Udsm Kwa ajili hiyo ...sasa ivi anajiita wakili WA mchongo hapa mjini ..nahisi alitumwa na halikuwa swali ni kashfa na msimamizi alishasema hataki kejeli wala kashfa..
Umenikumbusha shughuli za uchaguzi...Muuliza swali ni kiherehere tangu shule namfahamu na alifukuzwa Udsm Kwa ajili hiyo ...sasa ivi anajiita wakili WA mchongo hapa mjini ..nahisi alitumwa na halikuwa swali ni kashfa na msimamizi alishasema hataki kejeli wala kashfa..
Kusanyeni dataSabaya ni watu wakatili na wamefanya ukatili kwa vipindi tofauti. Baba akiwa DC alichoma nyumba za wafugaji huko Arusha akaondolewa kwenye nafasi hiyo.
Mwanaye akiwa DC wa Hai alifanyia watu ukatili na alipohojiwa mahakama alitamka kwamba alikuwa anatenda hayo kwa kutumwa na JPM.
Leo Mzee Sabaya alipoulizwa kuhusu njia na utaratibu utakaotumia kulinda ardhi ikiwemo ya wafugaji huko Arusha walisikika viongozi wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Bw. Mtaka wakisema ILO SIYO SWALI.
Hawa watu wasiotaka kuulizwa mambo serious na wanaolindwa na akina Mtaka kwa maana ya system wataendelea kubebwa hadi lini?
Mama kizimkazi anajiimarisha na safu yake ya uongozi wa chama...birds of a feather__Muuliza swali huyu hapa na swali lenyewe hili hapa.