William Abel japhet
New Member
- Dec 11, 2023
- 4
- 1
Wameshaona kama hivi nchi ni urithi wao kama wa familia wanafanya wanavyoweza sasa sisi tutafanyaje ila amini ipo siku watajuta kwa vitendo wanavyofanya coz wanaona wananchi kam tumetulia niwajinga lakin watambue sisi tunapenda peace ingekuwa ni kenya xaiv wote ao washatoka vitini au nchi ichafukeee