Ndio unacho waza namawazo yako mafupi yaliyoishia apooo ila wew na mwijaku na babalevo nawengine kama wew ni machawa nawabinafsi mtasema nchi niya babayako naukweli ampendagi kuambiwa ukweli makazi yenu mnatka mtunyonye alafu tunyamaz nakwambia ikifika 2030 hiiii nchi mtaisahau