Wale ni viongozi wa UVCCM Temeke unajingine.Makosa yakifanywa na wanachama binafsi, chama hakiwezi kuhusishwa.
Ila likifanywa na viongozi wa chama tena kwenye vikao vya chama, Basi chama husika kina dhima mbele ya sheria
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale ni viongozi wa UVCCM Temeke unajingine.Makosa yakifanywa na wanachama binafsi, chama hakiwezi kuhusishwa.
Ila likifanywa na viongozi wa chama tena kwenye vikao vya chama, Basi chama husika kina dhima mbele ya sheria
Mutungi aache kupiga mitungi kabla hajaitisha press conf
View attachment 1527153
Katibu Mkuu wa BAVICHA Nusrat Hanje na mratibu wa uhamasishaji taifa Twaha Mwaipaya wapo gerezani yapata mwezi sasa kwa kile kinachodaiwa kuuharibu wimbo wa taifa kwa kusema "Mungu ibariki Chadema, wabariki viongozi wake". Msajili wa vyama vya siasa Jaji Mutungi nae kakipa onyo Chadema kwamba jana wakati wa ufunguzi wa Baraza kuu, wanachama waliongeza ubeti wa 3 kwenye wimbo wa taifa kwa kusema "Mungu ibariki Chadema, wabariki viongozi wake"
_
Wafuasi wa CCM wakashangilia kauli ya Mtungi na wakafurahia akina Nusrat kusota jela kwa madai eti wameharibu wimbo wa taifa. Sasa nawauliza hawa wafuasi wa CCM wenye vichwa kama "Mtungi" je hiki kilichofanywa na vijana wa CCM Temeke ni sawa? Pia muulizeni huyo mwenye "Mtungi" wake hiki ni nini? Je CCM hapa hawajaharibu wimbo wa taifa? Hizi double standard ndio zinafanya Mtungi aonekane Mtungi kweli. Mtungi bhana.!
Credit: Malisa Godlisten
View attachment 1527154
Wale ni viongozi wa UVCCM Temeke unajingine.
Huna hoja ni kama unapromote double standards.Sasa Baraza kuu la Chadema akiwemo Mwenyekiti, Katibu mkuu na mgombea uraisi wameona role model wao ni viongozi wa UVCCM Temeke?.
Kwa nini wao wasiwe mfano mzuri kwenye kuheshimu wimbo wa Taifa?
Two wrongs don't make it right!
Duh! Kuna watu wako 'informed' kwa kila jambo linalotokea. Ndiyo faida mojawapo ya teknolojia ya mawasialiano. Kweli kuna shida mahali fulani.View attachment 1527153
Katibu Mkuu wa BAVICHA Nusrat Hanje na mratibu wa uhamasishaji taifa Twaha Mwaipaya wapo gerezani yapata mwezi sasa kwa kile kinachodaiwa kuuharibu wimbo wa taifa kwa kusema "Mungu ibariki Chadema, wabariki viongozi wake". Msajili wa vyama vya siasa Jaji Mutungi nae kakipa onyo Chadema kwamba jana wakati wa ufunguzi wa Baraza kuu, wanachama waliongeza ubeti wa 3 kwenye wimbo wa taifa kwa kusema "Mungu ibariki Chadema, wabariki viongozi wake"
_
Wafuasi wa CCM wakashangilia kauli ya Mtungi na wakafurahia akina Nusrat kusota jela kwa madai eti wameharibu wimbo wa taifa. Sasa nawauliza hawa wafuasi wa CCM wenye vichwa kama "Mtungi" je hiki kilichofanywa na vijana wa CCM Temeke ni sawa? Pia muulizeni huyo mwenye "Mtungi" wake hiki ni nini? Je CCM hapa hawajaharibu wimbo wa taifa? Hizi double standard ndio zinafanya Mtungi aonekane Mtungi kweli. Mtungi bhana.!
Credit: Malisa Godlisten
View attachment 1527154
Kwa hii double standard kiongozi wa kariba ya Lissu ndio mwarobaini hatutaki kumwachia MUNGU,kulialia au kulalamika tena ni jino kwa jino mpaka tutaelewana tu .Hicho ni kiherehere tu cha Jaji Mutungi......
Hivi kosa likifanywa na Chadema peke yake na likifanywa na CCM siyo kosa?
Hii double standards inayoendeshwa nchi hii na watendaji wa serikali kwa ajili ya kumfurahisha Jiwe, italifikisha Taifa hili pabaya
Huyo ni Jaji Mutungi jina zuri tu la kijadi angechunga asiwe mtungi . Mbili na mbili ni nne anatakiwa ajue lakini mtungi atakaesema mbili na mbili ni Tano huto hawezi kuwa Jaji Mutungi maana hiyo si mbili na mbili. Jaji Mutungi alitakiwa ajue kuna Serkali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nchi ya Tanzania na Chama cha CCM lakini Serkali ya Magufuli, Tanzania ya Magufuli na Chama Kipya Cha CCM Cha Magufuli Jaji Mutungi angetufafanulia hata Wananchi wa Magufuli ndo nani na kwao wapi.Hicho ni kiherehere tu cha Jaji Mutungi......
Hivi kosa likifanywa na Chadema peke yake na likifanywa na CCM siyo kosa?
Hii double standards inayoendeshwa nchi hii na watendaji wa serikali kwa ajili ya kumfurahisha Jiwe, italifikisha Taifa hili pabaya
Huu sio wimbo wa taifa, umefanana maneno ya kwanza but hauna harmony yoyote ya wimbo wa taifa.View attachment 1527153
Katibu Mkuu wa BAVICHA Nusrat Hanje na mratibu wa uhamasishaji taifa Twaha Mwaipaya wapo gerezani yapata mwezi sasa kwa kile kinachodaiwa kuuharibu wimbo wa taifa kwa kusema "Mungu ibariki Chadema, wabariki viongozi wake". Msajili wa vyama vya siasa Jaji Mutungi nae kakipa onyo Chadema kwamba jana wakati wa ufunguzi wa Baraza kuu, wanachama waliongeza ubeti wa 3 kwenye wimbo wa taifa kwa kusema "Mungu ibariki Chadema, wabariki viongozi wake"
_
Wafuasi wa CCM wakashangilia kauli ya Mtungi na wakafurahia akina Nusrat kusota jela kwa madai eti wameharibu wimbo wa taifa. Sasa nawauliza hawa wafuasi wa CCM wenye vichwa kama "Mtungi" je hiki kilichofanywa na vijana wa CCM Temeke ni sawa? Pia muulizeni huyo mwenye "Mtungi" wake hiki ni nini? Je CCM hapa hawajaharibu wimbo wa taifa? Hizi double standard ndio zinafanya Mtungi aonekane Mtungi kweli. Mtungi bhana.!
Credit: Malisa Godlisten
View attachment 1527154
Wimbo wa Taifa ni neno kwa neno,koma kwa koma, nukta kwa nukta na beti kwa beti katika lughà ya Taifa. Chochote kikizidi au kupungua basi huo siyo Wimbo wa Taifa. Wimbo wa Taifa ukiimbwa Kisukuma ni sahihi? Kwenu wanasheria!CCM hawajaanza kama wimbo wa taifa ila wapinzani wameimba beti kibao za wimbo wa taifa then yanakuja kumalizia na beti za chama mfu. Hapo lazima mdakwe.
Headline wanatafuta umaarufu ni umaarufu tu akirudi osama akagombea urais watu watamchagua maana ni maarufuIla CHADEMA nao wanazingua aisee kwann wanajitaftia sababu wenyewe za kusumbuliwa?
wanazingua aisee mambo ya kitoto hayo
Maendeleo hayana vyama... wakiimba wakaugeuza watakavyo wimbo wa Taifa aaah hao ndio watanzania kuliko wengineView attachment 1527153
Katibu Mkuu wa BAVICHA Nusrat Hanje na mratibu wa uhamasishaji taifa Twaha Mwaipaya wapo gerezani yapata mwezi sasa kwa kile kinachodaiwa kuuharibu wimbo wa taifa kwa kusema "Mungu ibariki Chadema, wabariki viongozi wake". Msajili wa vyama vya siasa Jaji Mutungi nae kakipa onyo Chadema kwamba jana wakati wa ufunguzi wa Baraza kuu, wanachama waliongeza ubeti wa 3 kwenye wimbo wa taifa kwa kusema "Mungu ibariki Chadema, wabariki viongozi wake"
_
Wafuasi wa CCM wakashangilia kauli ya Mtungi na wakafurahia akina Nusrat kusota jela kwa madai eti wameharibu wimbo wa taifa. Sasa nawauliza hawa wafuasi wa CCM wenye vichwa kama "Mtungi" je hiki kilichofanywa na vijana wa CCM Temeke ni sawa? Pia muulizeni huyo mwenye "Mtungi" wake hiki ni nini? Je CCM hapa hawajaharibu wimbo wa taifa? Hizi double standard ndio zinafanya Mtungi aonekane Mtungi kweli. Mtungi bhana.!
Credit: Malisa Godlisten
View attachment 1527154
Ina muondolea heshima jaji Mutungi.. Hata una jiuliza ali pataje ujaji?? Au ni zawadi baada ya kazi maalum?CCM na vijakazi wao wanatapatapa wanatafuta pakutokea..
Umemsoma na kumuelewa mleta mada? Ameweka.evidence ya Wimbo wa Taifa ukimuomba Mungu ambariki Magufuli! Kwahio akitajwa Magufuli it's okay ila akitajwa mwingine dhambi!!!Ila CHADEMA nao wanazingua aisee kwann wanajitaftia sababu wenyewe za kusumbuliwa?
wanazingua aisee mambo ya kitoto hayo
Yeye na CCM yake hawajui teknolojiaJaji kasahau kwamba sikuhizi Kuna teknolojia