CCM walienda kufanya "show off" na uvunjifu wa Katiba Yao wenyewe, haukua mkutano!

CCM walienda kufanya "show off" na uvunjifu wa Katiba Yao wenyewe, haukua mkutano!

Tunashanga judge mtungi yupo wapi? Sheria inataka mgombea anatakiwa apate Saini za wanachama kila mkoa kabla mgombea hajatangazea na chama ila mwaka huu imezimwa
Huo Ni Mtungi Wa Maji, Sasa Kakaa Kimya Kama Hayupo
 
Tunashanga judge mtungi yupo wapi? Sheria inataka mgombea anatakiwa apate Saini za wanachama kila mkoa kabla mgombea hajatangazea na chama ila mwaka huu imezimwa
Wajumbe waliokuwepo walitoka mikoa ipi?? Ili tujue Kuna mikoa hakukuwa na wanachama kama Sheria inavyosema??
 
Kwa MTU yoyote mwenye akili timamu ambazo haziongozwi na mihemko atakubaliana na habari hii.

Mkutano ulijaa "show off" KULIKO maana halisi za mkutano. Walienda kutuonyesha uwezo wao wa kutumia resources Vibaya. Kwa mfano, Nani mwanachama mwandamizi wa CCM anayefahamu mabasi Yale, baskeli, Boda bado (with individual branding) yalipatikanaje? Ni kweli Yale mabasi ya Ile mojawapo ya state apparatus yaliepenyezewa humo? Tuliache hilo.

Angalia jinsi agenda za mkutano zilivyokua za kijanjajanja, kila MTU anamlia timing mwenzake, kila MTU hajiamini wala hamuamini mwenzake. Huu haukua mkutano wa kupendekeza wagombea.....JK kastukizwa ili kuleta justification ya kilichofanywa... Baraka fake.

Wajumbe wengi wameenda kwa malengo binafsi ya kupata "maisha" na Burudani kutoka kwa wasanii waliokusanywa kila mahali, na wapiga zumari. Ukiwauliza kilichowafanya washangilie kwa kuvunja Katiba Yao wenyewe, watakwambia hawajui..

View attachment 3208215
Huna hoja na mgombea Urais ni Samia,imekwisha hiyo mwambie ajipange 2030.

Mpuuzi mmja huyo,ni lini CCM iliwahi sema itakuwa na mgombea Urais tofauti na Samia?
 
Tunashanga judge mtungi yupo wapi? Sheria inataka mgombea anatakiwa apate Saini za wanachama kila mkoa kabla mgombea hajatangazea na chama ila mwaka huu imezimwa
Mpwa, Mungu akitaka kukuaibisha atakupa upofu na usahaulifu
 
Mkuu huu ni mpango maalum wa utekelezaji wa hatua za utekaji uhuru na haki za watanzania.

Hatua ya kwanza ilikuwa ni utekaji wa wapinzani. Tayari imepita hiyo.

Hatua ya tatu ilikuwa ni utekaji wa uchaguzi wa serikali za mtaa nchini kote. Tayari imepita hiyo.

Hatua ya tatu ilikuwa ni utekaji wa mchakato wa uchaguzi za viongozi wa vyama vya upinzani. Hii nayo tayari.

Hatua ya nne ilikuwa ni utekaji wa katiba na mchakato mzima wa uchaguzi viongozi wa CCM wenyewe. Hii ndio imeshudiwa juzi.

Hatua ya tano itakuwa ni utekaji wa mchakato wa uchaguzi na uchaguzi Mkuu, hii hatua haina budi kutimia Oktoba 2025.

Na hatimaye hatua ya mwisho itakuwa ni utekaji wa bunge, habari na rasilimali zote muhimu za nchi.

Kazi ipo, kazi iendelee, mwingi unapigwa na mama!
Good analysis
 
Mimi Pia common sense yangu iliona kama vile Kikwete alishtukizwa 😳!
Je ni kweli alishtukizwa ???!
Na kama kweli alishtukizwa na akatoa baraka ina maana kwamba kumbe jamaa yupo weak sana kwa sasa !
Je angekuwepo Che Nkapa akashtukizwa vile angefanya kama alivyofanya Kikwete ???!
Hoja yangu ni kwamba kama kile kilichofanyika sio sahihi wa kulaumiwa pale ni nani ???!
Je bado tuamini bado wapo Wazee wa kutuvusha kama tukikwama ?!!
 
hii inatusaidia vipi kupata mwenyekiti mpya CHADEMA?
Hio ni thread tofauti na hii. Tujadiliane hili Kwanza then otherwise anzisha thread yenye maudhui hayo, kuanzisha thread ni bure.
 
Kwa MTU yoyote mwenye akili timamu ambazo haziongozwi na mihemko atakubaliana na habari hii.

Mkutano ulijaa "show off" KULIKO maana halisi za mkutano. Walienda kutuonyesha uwezo wao wa kutumia resources Vibaya. Kwa mfano, Nani mwanachama mwandamizi wa CCM anayefahamu mabasi Yale, baskeli, Boda bado (with individual branding) yalipatikanaje? Ni kweli Yale mabasi ya Ile mojawapo ya state apparatus yaliepenyezewa humo? Tuliache hilo.

Angalia jinsi agenda za mkutano zilivyokua za kijanjajanja, kila MTU anamlia timing mwenzake, kila MTU hajiamini wala hamuamini mwenzake. Huu haukua mkutano wa kupendekeza wagombea.....JK kastukizwa ili kuleta justification ya kilichofanywa... Baraka fake.

Wajumbe wengi wameenda kwa malengo binafsi ya kupata "maisha" na Burudani kutoka kwa wasanii waliokusanywa kila mahali, na wapiga zumari. Ukiwauliza kilichowafanya washangilie kwa kuvunja Katiba Yao wenyewe, watakwambia hawajui..

View attachment 3208215
ni kifungu kipi cha katiba ya ccm kilichovunjwa?
 
Back
Top Bottom