ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,837
- 3,027
Jamaa huwa wanajinasibu kuwa wao siku zote ni wamoja kwa hali na mali. !Ukitulia na kuangalia mambo yanavyoenda, yanaogopesha.
Mwenyezi Mungu atunusuru. Tuendelee kubaki salama
Na huo ndio ukweli wenyewe uliochanganyika na Uoga kwa sababu Mkuu ameshika Hatamu zote Chamani na Serikalini na ndivyo Katiba inavyomruhusu!
Hakuna mahali amevunja Katiba 😄🙏🙏
Wenye maumivu watakuwa wanalilia Tumboni ili wasijulikane kuwa hawakupendezewa na yaliyotokea !
Huku uraiani it’s business as usual ,
Hakuna shida hakuna matata maisha yanasonga 😄🙏🙏🙏 !
Tanzania raha sana 🙏🙏 !
Au nasema uongo ndugu zanguni ????!!! 😂😂😂