Huo Ni Mtungi Wa Maji, Sasa Kakaa Kimya Kama HayupoTunashanga judge mtungi yupo wapi? Sheria inataka mgombea anatakiwa apate Saini za wanachama kila mkoa kabla mgombea hajatangazea na chama ila mwaka huu imezimwa
Wajumbe waliokuwepo walitoka mikoa ipi?? Ili tujue Kuna mikoa hakukuwa na wanachama kama Sheria inavyosema??Tunashanga judge mtungi yupo wapi? Sheria inataka mgombea anatakiwa apate Saini za wanachama kila mkoa kabla mgombea hajatangazea na chama ila mwaka huu imezimwa
Huna hoja na mgombea Urais ni Samia,imekwisha hiyo mwambie ajipange 2030.Kwa MTU yoyote mwenye akili timamu ambazo haziongozwi na mihemko atakubaliana na habari hii.
Mkutano ulijaa "show off" KULIKO maana halisi za mkutano. Walienda kutuonyesha uwezo wao wa kutumia resources Vibaya. Kwa mfano, Nani mwanachama mwandamizi wa CCM anayefahamu mabasi Yale, baskeli, Boda bado (with individual branding) yalipatikanaje? Ni kweli Yale mabasi ya Ile mojawapo ya state apparatus yaliepenyezewa humo? Tuliache hilo.
Angalia jinsi agenda za mkutano zilivyokua za kijanjajanja, kila MTU anamlia timing mwenzake, kila MTU hajiamini wala hamuamini mwenzake. Huu haukua mkutano wa kupendekeza wagombea.....JK kastukizwa ili kuleta justification ya kilichofanywa... Baraka fake.
Wajumbe wengi wameenda kwa malengo binafsi ya kupata "maisha" na Burudani kutoka kwa wasanii waliokusanywa kila mahali, na wapiga zumari. Ukiwauliza kilichowafanya washangilie kwa kuvunja Katiba Yao wenyewe, watakwambia hawajui..
View attachment 3208215
Hakika..!Ile ilikuwa ni laana itakayowatafuna sana mwaka huu.. In fact ni kama sherehe yao ya mwisho
Siku hizi wanawapa sumuWatamteka huyu Dr. sasa hivi.
Apewe ulinzi.
Imekaa vyema Sana sana. Kwa Wana CCM wenye akili LAZIMA watatenda muujiza mwaka huuCCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu, pigo lililonyooka, pigo takatifu.
Hili nalo Neno, Mjomba ni MamaHamwezi kushindana na nguvu ya fedha kutoka Urabuni kwa Mjomba!
Mpwa, Mungu akitaka kukuaibisha atakupa upofu na usahaulifuTunashanga judge mtungi yupo wapi? Sheria inataka mgombea anatakiwa apate Saini za wanachama kila mkoa kabla mgombea hajatangazea na chama ila mwaka huu imezimwa
Sijui ngoja tuoneKama kungekuwa na tume huru ya uchaguzi ndiyo ilikuwa muda mzuri wa wapinzani kuchukua Nchi.
Good analysisMkuu huu ni mpango maalum wa utekelezaji wa hatua za utekaji uhuru na haki za watanzania.
Hatua ya kwanza ilikuwa ni utekaji wa wapinzani. Tayari imepita hiyo.
Hatua ya tatu ilikuwa ni utekaji wa uchaguzi wa serikali za mtaa nchini kote. Tayari imepita hiyo.
Hatua ya tatu ilikuwa ni utekaji wa mchakato wa uchaguzi za viongozi wa vyama vya upinzani. Hii nayo tayari.
Hatua ya nne ilikuwa ni utekaji wa katiba na mchakato mzima wa uchaguzi viongozi wa CCM wenyewe. Hii ndio imeshudiwa juzi.
Hatua ya tano itakuwa ni utekaji wa mchakato wa uchaguzi na uchaguzi Mkuu, hii hatua haina budi kutimia Oktoba 2025.
Na hatimaye hatua ya mwisho itakuwa ni utekaji wa bunge, habari na rasilimali zote muhimu za nchi.
Kazi ipo, kazi iendelee, mwingi unapigwa na mama!
Wanaongeza takwimu tuKuna waliopeleka, kuna walioenda kubeba
HakikaKwaa mambo yanayoendelea kutokea , wala haupati shida kujua anayeratibu utekaji na mauaji ni nani.
Hio ni thread tofauti na hii. Tujadiliane hili Kwanza then otherwise anzisha thread yenye maudhui hayo, kuanzisha thread ni bure.hii inatusaidia vipi kupata mwenyekiti mpya CHADEMA?
ni kifungu kipi cha katiba ya ccm kilichovunjwa?Kwa MTU yoyote mwenye akili timamu ambazo haziongozwi na mihemko atakubaliana na habari hii.