CCM walienda kufanya "show off" na uvunjifu wa Katiba Yao wenyewe, haukua mkutano!

Ukitulia na kuangalia mambo yanavyoenda, yanaogopesha.

Mwenyezi Mungu atunusuru. Tuendelee kubaki salama
Jamaa huwa wanajinasibu kuwa wao siku zote ni wamoja kwa hali na mali. !
Na huo ndio ukweli wenyewe uliochanganyika na Uoga kwa sababu Mkuu ameshika Hatamu zote Chamani na Serikalini na ndivyo Katiba inavyomruhusu!
Hakuna mahali amevunja Katiba 😄🙏🙏

Wenye maumivu watakuwa wanalilia Tumboni ili wasijulikane kuwa hawakupendezewa na yaliyotokea !
Huku uraiani it’s business as usual ,
Hakuna shida hakuna matata maisha yanasonga 😄🙏🙏🙏 !
Tanzania raha sana 🙏🙏 !
Au nasema uongo ndugu zanguni ????!!! 😂😂😂
 
Kwa kweli chadema are very smart.
Huko ccm ni aibu tupu.
 

Ndio ukweli wenyewe 😂😂😂😂
 
SAMIA anafahamu hamumpendi, halafu mlitaka awape nafasi mumgalagaze kabisa.

Akaamua awe kipa akajaa golini, akawa refa yeye, alianzisha mechi yeye na kuimaliza yeye, na kamisaa wa mchezo yeye.

Hakutana VARS wala video, mnaimba wenyewe kila siku, "hamywi sumu na hsmjinyongi, ccm mbele kwa mbele"

Alisema ccm chama kikubwa, ukiondoka chawa wanakaba nafasi yako.

Amueni sasa, muondoke au mbaki, bi chura kasema na kamaliza.
 
Katiba ya nchi mliambiwa ni "kijitabu" tu, sasa hiyo ya chama jaribu kupiga mahesabu.
Katiba ya nchi mliambiwa ni "kijitabu" tu. Sasa hiyo ya chama jaribu kupiga mahesabu inachukuliwaje.
 
Kama kungekuwa na tume huru ya uchaguzi ndiyo ilikuwa muda mzuri wa wapinzani kuchukua Nchi.
Wapinzani gani hao, hawa hawa akina Lissu na Mbowe waliotuonyesha Watanzania kwamba kuanzia kesho tarehe 22/01/2025 tunaanza upya kuutengeneza upinzani? Maana tumezijua sura zao halisi kwamba hawafai kuongoza nchi.
 
Mm nilijua eti wanaume ndio wahuni kumbe hata wanawake ni wahuni wakubwa na hatari.
 
Mkuu ngoja tumalize uchaguzi kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…