CCM waliponunua mabasi sikuwaelewa, Sasa nawaelewa

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,982
Reaction score
51,157
CCM waliponunua mabasi nilishangaa Sana, maana sikuelewa kama wanataka kuanzisha kampuni ya usafirishaji au vipi!?

Kumbe wenyewe walijua kuwa wakati wa uchaguzi watahitaji kusomba watu na kuwapeleka kwenye mikutano yao.

Kwingine nimeona mpaka treni zimetumika kubeba watu. Sijui ni wangapi watasombwa mara mbilimbili ili kujaza viwanja bila ya kuwa na ya hoja ya kusikiliza.
 
Mkutano unafanyika sehemu moja na wajumbe wote wana shauku ya kufika sasa ulitaka iweje??
 
Ni mkakati mzuri....aliebuni bla shaka ni mtu mwenye maono. Hili litawasaidia hata waliopo vijijini kuletwa na kusikia Sera na ahadi za wagombea kwa urahisi. Litakuza uwezo wa kufikia wapiga Kura kwa wingi. Hongera kwa aliyebuni
 
CCM waliponunua mabasi nilishangaa Sana, maana sikuelewa kama wanataka kuanzisha kampuni ya usafirishaji au vipi!?

Kumbe wenyewe walijua kuwa wakati wa uchaguzi watahitaji kusomba watu na kuwapeleka kwenye mikutano yao.

Kwingine nimeona mpaka treni zimetumika kubeba watu. Sijui ni wangapi watasombwa mara mbilimbili ili kujaza viwanja bila ya kuwa na ya hoja ya kusikiliza.
yapost hayo mabasi mkuu
 
Ni mkakati mzuri....aliebuni bla shaka ni mtu mwenye maono. Hili litawasaidia hata waliopo vijijini kuletwa na kusikia Sera na ahadi za wagombea kwa urahisi. Litakuza uwezo wa kufikia wapiga Kura kwa wingi. Hongera kwa aliyebuni
Hii inaonesha huko wanakotolewa kuna umaskini wa kunuka. Labda hakuna barabara zinazopitika, au kutokana na watu wa maeneo hayo kuwa maskini, pia hakuna usafiri wa uhakika.
 
Back
Top Bottom