Ana gunduMama hapendwi sjui kwanini
Ana gunduMama hapendwi sjui kwanini
Ninamuomba Mungu Mwenye uweza na mamlaka yote Atende jambo juu ya hawa watesi wa Taifa letu! Ee Mwenyezi Mungu tunaomba utufanyie wepesi kwa ajili ya utukufu wa jina lako, Ameen!CCM waliponunua mabasi nilishangaa Sana, maana sikuelewa kama wanataka kuanzisha kampuni ya usafirishaji au vipi!?
Kumbe wenyewe walijua kuwa wakati wa uchaguzi watahitaji kusomba watu na kuwapeleka kwenye mikutano yao.
Kwingine nimeona mpaka treni zimetumika kubeba watu. Sijui ni wangapi watasombwa mara mbilimbili ili kujaza viwanja bila ya kuwa na ya hoja ya kusikiliza.
Mbona nasikia ni za jeshi, ila wamezibrand tu Kwa muda.CCM waliponunua mabasi nilishangaa Sana, maana sikuelewa kama wanataka kuanzisha kampuni ya usafirishaji au vipi!?
Kumbe wenyewe walijua kuwa wakati wa uchaguzi watahitaji kusomba watu na kuwapeleka kwenye mikutano yao.
Kwingine nimeona mpaka treni zimetumika kubeba watu. Sijui ni wangapi watasombwa mara mbilimbili ili kujaza viwanja bila ya kuwa na ya hoja ya kusikiliza.
Sijapata ushahidi... Lakini kwa sasa wanazo wao.Mbona nasikia ni za jeshi, ila wamezibrand tu Kwa muda.
Kwa sababu bado safari ya nchi ya ahadi haijakamilika,Kwa nini mmezoea shida?
Umeandika tafakuri nzito sana inayotakiwa kuwekewa lamination na kuwekwa kwenye jumba la makumbusho la Taifa.Kwa sababu bado safari ya nchi ya ahadi haijakamilika,
na kwa sababu tunajitambua tunajua taasisi zetu ni maskini,
zinapambana na milima ya changamoto.
Lakini msukumo wetu ni matumaini yasiyokoma.
Kama tunajaa uwanja wa taifa kushangilia kandanda
tukiwatajirisha Waarabu na Wasomali,
tutashindwa vipi kujikusanya kwa gharama zetu wenyewe,
ili kuisikia sauti ya taifa letu?
Ajenda zetu si mchezo wa dakika tisini,
ni maisha ya vizazi vyote
Inategemea hapendwi na nani.Mtapendana kwenu hapa tunataka Kiongozi anayeleta majawabu.Mama hapendwi sjui kwanini
Nilishatambua kitambo kwamba nchi ya ahadi possibly sitaiona, lakini walau generation hii ijenge foundationUmeandika tafakuri nzito sana inayotakiwa kuwekewa lamination na kuwekwa kwenye jumba la makumbusho la Taifa.
Sentensi yako ya mwisho kuwa "Agenda zetu si mchezo wa dakika tisini, ni maisha ya vizazi vyote" imekaa kizalendo na kimapinduzi!
Mama anahama na Kijiji chake, kutoka location moja hadi nyingine...CCM waliponunua mabasi nilishangaa Sana, maana sikuelewa kama wanataka kuanzisha kampuni ya usafirishaji au vipi!?
Kumbe wenyewe walijua kuwa wakati wa uchaguzi watahitaji kusomba watu na kuwapeleka kwenye mikutano yao.
Kwingine nimeona mpaka treni zimetumika kubeba watu. Sijui ni wangapi watasombwa mara mbilimbili ili kujaza viwanja bila ya kuwa na ya hoja ya kusikiliza.
Tufanye hivi lakini Tusikosee sanaaaaa- KikweteCCM waliponunua mabasi nilishangaa Sana, maana sikuelewa kama wanataka kuanzisha kampuni ya usafirishaji au vipi!?
Kumbe wenyewe walijua kuwa wakati wa uchaguzi watahitaji kusomba watu na kuwapeleka kwenye mikutano yao.
Kwingine nimeona mpaka treni zimetumika kubeba watu. Sijui ni wangapi watasombwa mara mbilimbili ili kujaza viwanja bila ya kuwa na ya hoja ya kusikiliza.
Wanazisikiliza pia sera za chama ili waendelee kukiamini chama 2025-2030.CCM waliponunua mabasi nilishangaa Sana, maana sikuelewa kama wanataka kuanzisha kampuni ya usafirishaji au vipi!?
Kumbe wenyewe walijua kuwa wakati wa uchaguzi watahitaji kusomba watu na kuwapeleka kwenye mikutano yao.
Kwingine nimeona mpaka treni zimetumika kubeba watu. Sijui ni wangapi watasombwa mara mbilimbili ili kujaza viwanja bila ya kuwa na ya hoja ya kusikiliza.
Nenda Kwa Mange Instagram wananchi forum kuna Poll. Rudi hapa ulete mrejeshoCCM waliponunua mabasi nilishangaa Sana, maana sikuelewa kama wanataka kuanzisha kampuni ya usafirishaji au vipi!?
Kumbe wenyewe walijua kuwa wakati wa uchaguzi watahitaji kusomba watu na kuwapeleka kwenye mikutano yao.
Kwingine nimeona mpaka treni zimetumika kubeba watu. Sijui ni wangapi watasombwa mara mbilimbili ili kujaza viwanja bila ya kuwa na ya hoja ya kusikiliza.
Maneno tupu bila picture ya wasombwaji ni Uzushi.CCM waliponunua mabasi nilishangaa Sana, maana sikuelewa kama wanataka kuanzisha kampuni ya usafirishaji au vipi!?