CCM waliponunua mabasi sikuwaelewa, Sasa nawaelewa

Ninamuomba Mungu Mwenye uweza na mamlaka yote Atende jambo juu ya hawa watesi wa Taifa letu! Ee Mwenyezi Mungu tunaomba utufanyie wepesi kwa ajili ya utukufu wa jina lako, Ameen!
 
Mbona nasikia ni za jeshi, ila wamezibrand tu Kwa muda.
 
Kwa nini mmezoea shida?
Kwa sababu bado safari ya nchi ya ahadi haijakamilika,
na kwa sababu tunajitambua tunajua taasisi zetu ni maskini,
zinapambana na milima ya changamoto.
Lakini msukumo wetu ni matumaini yasiyokoma.

Kama tunajaa uwanja wa taifa kushangilia kandanda
tukiwatajirisha Waarabu na Wasomali,
tutashindwa vipi kujikusanya kwa gharama zetu wenyewe,
ili kuisikia sauti ya taifa letu?
Ajenda zetu si mchezo wa dakika tisini,
ni maisha ya vizazi vyote
 
Umeandika tafakuri nzito sana inayotakiwa kuwekewa lamination na kuwekwa kwenye jumba la makumbusho la Taifa.

Sentensi yako ya mwisho kuwa "Agenda zetu si mchezo wa dakika tisini, ni maisha ya vizazi vyote" imekaa kizalendo na kimapinduzi!
 
Ukweli ni kwamba kwa hali inavyoonyesha safari hii siku ya tarehe 26 Oktoba kutakuwa na aibu ya mwaka kwa Samia na wapambe wake kwani watakaojitokeza kwenda kwenye vituo watakuwa ni baadhi tu ya wazee na vikongwe.

Hivyo ina maana kwamba watakaojitokeza kwenda kupiga kura wakifika milioni 4 kwa nchi nzima itakuwa ni bahati kubwa sana.
 
Umeandika tafakuri nzito sana inayotakiwa kuwekewa lamination na kuwekwa kwenye jumba la makumbusho la Taifa.

Sentensi yako ya mwisho kuwa "Agenda zetu si mchezo wa dakika tisini, ni maisha ya vizazi vyote" imekaa kizalendo na kimapinduzi!
Nilishatambua kitambo kwamba nchi ya ahadi possibly sitaiona, lakini walau generation hii ijenge foundation
 
Mama anahama na Kijiji chake, kutoka location moja hadi nyingine...

Mitano tena😊
 
Tufanye hivi lakini Tusikosee sanaaaaa- Kikwete
 
Wanazisikiliza pia sera za chama ili waendelee kukiamini chama 2025-2030.
 
Halafu wanatamba wamekaja wakati ukweli wanaujua
 
Nenda Kwa Mange Instagram wananchi forum kuna Poll. Rudi hapa ulete mrejesho
 
Wakiwa wasema "oktoba tunatiki" wanamaanisha kwa namna yeyote
 
Maneno tupu bila picture ya wasombwaji ni Uzushi.
 
Sasa hivi km una safari yako umeishiwa nauli unapanda gari za veggies ukifika unaendelea na safari zako unawaacha na mkutano wao..!! 😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…