SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,814
Hawa mwaifunga hajashinda. Tena kapitwa mbali sanaMlisema hivyo hivyo kwa Waitara. Mwaifunga mbona kashinda?
Amandla...
Bulaya?Hawa mwaifunga hajashinda. Tena kapitwa mbali sana
Kashinda Shaban Mrutu kwa kura nyingi sana kapata 6600
Huyo Hawa mwaifunga kapata kura 300 tu
Covid 19 aliyeshinda ni jesca kishoa
Bulaya Chali.! -kinara ni Robert Maboto (Bunda Mjini) akifuatiwa kwa karibu na Kambarage WassiraBulaya?
Asante 'wahuni' wa PolepoleBulaya Chali.! -Robert Maboto (Bunda Mjini) akifuatiwa kwa karibu na Kambarage Wassira
Wangewakung'unta na makofi hadi waone nyotanyota.Kitu nawapendea CCM likija swala la Kura na Kusaka vyeo hawachek na yeyote NI ama utoe pesa au wakutose. Wapi,
1. Ester Mariko,
2. Nusrat Hanje,
3.
4.
Wana masikio kama ya mbuzi,hawataelewa kitu.Bulaya na kina Mdee sasa wataelewa maana ya no reform no election
Kwisha habari yao, end of the roadWana masikio kama ya mbuzi,hawataelewa kitu.
Watunge jambo lingine liwaliwazeliwaze.Kwisha habari yao, end of the road
Watavuna walichopandaKitu nawapendea CCM likija swala la Kura na Kusaka vyeo hawachek na yeyote NI ama utoe pesa au wakutose. Wapi,
1. Ester Mariko,
2. Nusrat Hanje,
3.
4.
Kaka na akili zako timam unategemea Shafii Dauda ashindeTemeke vipi Shafii Dauda
Asingeweza mpita tajir Maboto..neverBulaya Chali.! -Robert Maboto (Bunda Mjini) akifuatiwa kwa karibu na Kambarage Wassira
Mkuu nimeuliza Tu. Nijibu au pita kushoto. Kuna uzi nilisoma bado wanapambana na mbunge wa Jimbo ndo maana nimeuliza.Kaka na akili zako timam unategemea Shafii Dauda ashinde