mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,490
- 138,365
Duh kumbe kuna mziki bado 😄Viti maalumu gani? Vile vichache vya Rais ambavyo vinawahusu wakina Stegolena na Doroth? Wataweza kupambana kukonga moyo wa Rais na hao magwiji?
Huko kwao
Ova
Duh kumbe kuna mziki bado 😄Viti maalumu gani? Vile vichache vya Rais ambavyo vinawahusu wakina Stegolena na Doroth? Wataweza kupambana kukonga moyo wa Rais na hao magwiji?
Vilivyobaki ni special city kwelikweli na havichagui jinsia. Ndio vile walipata wakina Bashiru, Mbatia, Polepole, Tulia, Mkenda, Rweyimamu, Taxi na waheshimiwa wengine kwa mahitaji maalumu ya taasisi ya Rais. Hizo hawezi kupata wakina Salome. Labda Nusrath kwa kuwa ana uwezo wa kujenga hoja na ni mvaa ushungi.Duh kumbe kuna mziki bado 😄
Huko kwao
Ova
Hao si kwamba wanategemea ubunge , hao wanasikikizia vile vyeo vya kijinga vya kula kodi ya wananchi bila kufanya kazi yoyto Ukuu wa mikoa na wilaya.Kitu nawapendea CCM likija swala la Kura na Kusaka vyeo hawachek na yeyote NI ama utoe pesa ya kueleweka (hii njia nayo haina uhakika 100%) au wakutose mazima. Wapi,
1. Ester Matiko
2. Nusrat Hanje
3.
4.
IlikuaDemu wa tumbili au
😅😅😅😅 Wamekosea nini!Wangewakung'unta na makofi hadi waone nyotanyota.
Kuwaonesha tu kwamba hawatakiwi.😅😅😅😅 Wamekosea nini!
Waitara ni CCM damu aliyekuja CHADEMA kutafuta "Publicity" na hakukaa Sana akarudi uwizini.Mlisema hivyo hivyo kwa Waitara.
Amandla...
Hiyo pesa wanayo?Wajumbe CCM Mkoani/Wilayani hamna hamna hukosi 5m ya rushwa za wagombea
siasa nazo ni shida sana. Miaka kumi haitoshi mtu kwenda kufanya SHUGHULI zingine? hujapata mtaji tu?Alikuwa
Alikuwa Anaota ndoto za 2015 alipombwaga mzee Wasira 😂😂😂😂😂
Kishoa ni jimbo gani?Kati ya hao,atakayekuwa ametumia pesa nyingi zaidi atakuwa Jesca Kishoa.
Natamani nijue yeye imekuwaje
Yupo iramba mashariki (wilya ya mkalama - mkoa wa singida)Kishoa ni jimbo gani?
Kasimu majaliwaDiblo ni katelephone, ubini wa baba yake ni shujaa mwokoa wahanga wa precision air Bukoba. Connect dots.