TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 31,930
- 19,156
Analea mkewe hajahama chamaMdee vipi
Analea mkewe hajahama chamaMdee vipi
Kikeke yuko mbioni kuanza kuwa winga wa kuuza nguruwe kutoka Moshi vijijini. Ubunge safari hii amegonga mwamba vibaya sana.wakuu vipi kuhusu SALIM KIKEKE?
Wale wana akiliBulaya na kina Mdee sasa wataelewa maana ya no reform no election
Mdee ni CCM wa chini ya kapeti.Mdee hajaenda ccm wala kugombea
Kama habari hii ni kweli basi itakuwa habari mbaya sana kwa yule Ngedere wa Kigoma ambaye aliogopa kugombea ili abakie kumsifia mama hapa JF.Aliyetoboa ni Jesca kishoa pekeee
Shafi Dauda hakuwepo kwenye kundi la CIVID 19Temeke vipi Shafii Dauda
Diablo ndo nani?Kama habari hii ni kweli basi itakuwa habari mbaya sana kwa yule Ngedere wa Kigoma ambaye aliogopa kugombea ili abakie kumsifia mama hapa JF.
Na Jesca akirejea tena bungeni huenda akasaka danga jipya kwa kuwa Diblo hayupo tena bungeni. Mwanadada anapenda pipe balaa.
Wanaenda ACT/CHAUMA washakuwa kama malaya wa kiasiasa uzuri ndio siasa haina rafiki wala adui wa kudumu.Kitu nawapendea CCM likija swala la Kura na Kusaka vyeo hawachek na yeyote NI ama utoe pesa ya kueleweka (hii njia nayo haina uhakika 100%) au wakutose mazima. Wapi,
1. Ester Matiko
2. Nusrat Hanje
3.
4.
Hawajaweka hata maji kidogo na povu la sabuni?Mdee ni CCM wa chini ya kapeti.
Mkewe kakimbilia CCM na kanyolewa kavu kavu.
😆😆Kwahyo hujacollect kura zangu?😁Wewe umejaza fomu halafu muda wa kupiga kura ukatoroka.Umeniacha wakala wako na aibu kubwa sana.Na hata msosi hamkuniletea?Hakika nimekiona cha moto.🫸🫷😂😂😂😂
SafiiiiiiiiiiiiiioiiiHawa Bananga Chaliii
Halifax ni CHADEMA damu asameheweMd
Mdee ana moyo na CDM, ni basi tu watu mnashindwa kumtafsiri
Niliuchapa usingizi muheshimiwa.😆😆Kwahyo hujacollect kura zangu?😁
Watulie tu covid 19 hawans credibility kwa jamii kwa sasa hata wakienda upinzani wataliwa kichwa hayo yatawatokea pia CHAUMMA hawatamini. Usaliti kwa umma umekwishatambulika.Wanaenda ACT/CHAUMA washakuwa kama malaya wa kiasiasa uzuri ndio siasa haina rafiki wala adui wa kudumu.
Nipo huku huyu dada alianza mbio za kulisaka himbo mapema akaana kumwaga pesa balaa mpala birthday zake amikuwa anafanyia jimboni anagawa zawadi za pesa kwa bodaboda na wamama wasio jiwezaAliyetoboa ni Jesca kishoa pekeee