CCM walivyowanyoosha COVID-19 toka CHADEMA hadi raha!

Mlisema hivyo hivyo kwa Waitara. Mwaifunga mbona kashinda?

Amandla...
Kuna wengi watapata nafasi za uteuzi. Hili ndilo linalofanya rais awe mungu mtu wa Tanzania. Na nafasi za kuteuliwa ziko nyingi mno.... CCM wanajua wakitupa wengi basi upinzani watakuwa na wanasita kununulika. Hata mtu wenu Mbowe atapata bakshishi yake..... Tatizo kubwa la wabongo ni kuwa husahau haraka na hushindwa kufanya correlation ya mambo ya siasa na maisha yao. Hata hawa wajumbe wanaochagua wagombea, watachuma vi-laki kadhaa muda huu lakini miaka mitano ijayo wataishi maisha ya dhiki na ukiwa huku waliochaguliwa wakinufaika.
 
Kitu nawapendea CCM likija swala la Kura na Kusaka vyeo hawachek na yeyote NI ama utoe pesa au wakutose. Wapi,
1. Ester Mariko,
2. Nusrat Hanje,
3.
4.
Sasa kwani COVID 19 wao wanasemaje,Halima Mdee ana hekari 400 za Parachichi hujui anavuta pesa kuliko hata wewe mgashi,wivu sio sifa,anaestahili apewe,hao COVID 19 ni mpango wa Pole pole na wenzie sasa kimewalamba
 
Kuna wengi watapata nafasi za uteuzi. Hili ndilo linalofanya rais awe mungu mtu wa Tanzania. Na nafasi za kuteuliwa ziko nyingi mno.... CCM wanajua wakitupa wengi basi upinzani watakuwa na wanasita kununulika. Hata mtu wenu Mbowe atapata bakshishi yake..... Tatizo kubwa la wabongo ni kuwa husahau haraka na hushindwa kufanya correlation ya mambo ya siasa na maisha yao. Hata hawa wajumbe wanaochagua wagombea, watachuma vi-laki kadhaa muda huu lakini miaka mitano ijayo wataishi maisha ya dhiki na ukiwa huku waliochaguliwa wakinufaika.
Mkuu salute kwako
 
Kitu nawapendea CCM likija swala la Kura na Kusaka vyeo hawachek na yeyote NI ama utoe pesa au wakutose. Wapi,
1. Ester Matiko
2. Nusrat Hanje
3.
4.
Wanawake waondoshwe wote kwenye vyeo vya maamuzi na kiuongozi...pia viti maalumu vifutwe haraka sana tena ni kosa kikatiba maana wabunge wanapigiwa kura na wananchi wote ...viti maalumu vimelifanya bunge kupoteza nguvu na mvuto na thamani hivyo kuchezewa na wahuni ...bunge limegeuka pango la wapumbavu na malaya na wahuni ...pia rais apewe majina mawili tu vya viti vya ubunge ...mawaziri na manaibu waziri wasiruhusiwe kupiga kula yotote bungeni ...
 
Back
Top Bottom