CCM walivyowanyoosha COVID-19 toka CHADEMA hadi raha!

Diablo ndo nani?
 
Kitu nawapendea CCM likija swala la Kura na Kusaka vyeo hawachek na yeyote NI ama utoe pesa ya kueleweka (hii njia nayo haina uhakika 100%) au wakutose mazima. Wapi,
1. Ester Matiko
2. Nusrat Hanje
3.
4.
Wanaenda ACT/CHAUMA washakuwa kama malaya wa kiasiasa uzuri ndio siasa haina rafiki wala adui wa kudumu.
 
Hapo ndo nampongeza Halima Mdee. Yeye alisimama kidete bila kuyumba. Hao Covid -19 wataambulia Ukuu wa Wilaya.
 
Wanaenda ACT/CHAUMA washakuwa kama malaya wa kiasiasa uzuri ndio siasa haina rafiki wala adui wa kudumu.
Watulie tu covid 19 hawans credibility kwa jamii kwa sasa hata wakienda upinzani wataliwa kichwa hayo yatawatokea pia CHAUMMA hawatamini. Usaliti kwa umma umekwishatambulika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…