Mrs Byesige
JF-Expert Member
- Nov 5, 2019
- 2,025
- 3,969
SIkupi hata posho..umeniharibia ramani yangu ya miaka mi5Niliuchapa usingizi muheshimiwa.
Ngoja nimalizie kuvuna mikusu nipate magobole ya kununulia masurufu siku ya maandamano.SIkupi hata posho..umeniharibia ramani yangu ya miaka mi5
Bdw unajua kunamaandamano nchi nzima hadi serikali itusikilize wannchi?28/10/2025.waambie hadi wa Kitelewasi na Frelimo
Dibala!Diablo ndo nani?
Kwani mdee aligombea wapi???Mdee vipi
Diblo ni katelephone, ubini wa baba yake ni shujaa mwokoa wahanga wa precision air Bukoba. Connect dots.Diablo ndo nani?
Watapoozwa na ukuu wa wilayaKitu nawapendea CCM likija swala la Kura na Kusaka vyeo hawachek na yeyote NI ama utoe pesa ya kueleweka (hii njia nayo haina uhakika 100%) au wakutose mazima. Wapi,
1. Ester Matiko
2. Nusrat Hanje
3.
4.
Demu wa tumbili auHawa mwaifunga hajashinda. Tena kapitwa mbali sana
Kashinda Shaban Mrutu kwa kura nyingi sana kapata 6600
Huyo Hawa mwaifunga kapata kura 300 tu
Covid 19 aliyeshinda ni jesca kishoa
Husomi threads? KapitaKati ya hao,atakayekuwa ametumia pesa nyingi zaidi atakuwa Jesca Kishoa.
Natamani nijue yeye imekuwaje
Sishangai Halima kuwekeza,ana akili ya wanakilimanjaro na ndio maana hajahama chama. Acha vyasaka waaibikeπSasa kwani COVID 19 wao wanasemaje,Halima Mdee ana hekari 400 za Parachichi hujui anavuta pesa kuliko hata wewe mgashi,wivu sio sifa,anaestahili apewe,hao COVID 19 ni mpango wa Pole pole na wenzie sasa kimewalamba
Mbona kuna ata ambao ni wanaccm siku nyingi ila wamekatwa mkuu.Kitu nawapendea CCM likija swala la Kura na Kusaka vyeo hawachek na yeyote NI ama utoe pesa ya kueleweka (hii njia nayo haina uhakika 100%) au wakutose mazima. Wapi,
1. Ester Matiko
2. Nusrat Hanje
3.
4.
Alikuwa Anaota ndoto za 2015 alipombwaga mzee Wasira πππππBulaya Chali.! -kinara ni Robert Maboto (Bunda Mjini) akifuatiwa kwa karibu na Kambarage Wassira
Uko sahihi. Na Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili nae hakushinda! Ila mpaka wakina Esther na Nustrat?Walijiamini sana.Hawa mwaifunga hajashinda. Tena kapitwa mbali sana
Kashinda Shaban Mrutu kwa kura nyingi sana kapata 6600
Huyo Hawa mwaifunga kapata kura 300 tu
Covid 19 aliyeshinda ni jesca kishoa
Mdee aliisha stukia. Yeye ni Chadema kindakindaki. Sidhani kama hata Chaumma anaweza kwenda.Bulaya na kina Mdee sasa wataelewa maana ya no reform no election
Viti maalumu gani? Vile vichache vya Rais ambavyo vinawahusu wakina Stegolena na Doroth? Wataweza kupambana kukonga moyo wa Rais na hao magwiji?Hao watapoozwa na viti maalum
Au uku wa wilaya tu π
Ova
Alianza mikakati mapema sana. Hakusubiri dakika za mwisho.Nipo huku huyu dada alianza mbio za kulisaka himbo mapema akaana kumwaga pesa balaa mpala birthday zake amikuwa anafanyia jimboni anagawa zawadi za pesa kwa bodaboda na wamama wasio jiweza