CCM walivyowanyoosha COVID-19 toka CHADEMA hadi raha!

Duh kumbe kuna mziki bado πŸ˜„
Huko kwao

Ova
Vilivyobaki ni special city kwelikweli na havichagui jinsia. Ndio vile walipata wakina Bashiru, Mbatia, Polepole, Tulia, Mkenda, Rweyimamu, Taxi na waheshimiwa wengine kwa mahitaji maalumu ya taasisi ya Rais. Hizo hawezi kupata wakina Salome. Labda Nusrath kwa kuwa ana uwezo wa kujenga hoja na ni mvaa ushungi.
 
Kitu nawapendea CCM likija swala la Kura na Kusaka vyeo hawachek na yeyote NI ama utoe pesa ya kueleweka (hii njia nayo haina uhakika 100%) au wakutose mazima. Wapi,
1. Ester Matiko
2. Nusrat Hanje
3.
4.
Hao si kwamba wanategemea ubunge , hao wanasikikizia vile vyeo vya kijinga vya kula kodi ya wananchi bila kufanya kazi yoyto Ukuu wa mikoa na wilaya.
 
Nafasi bado nyingi huko kwa majambazi. Watapewa ukuu wa wilaya, mikoa, ukurugenzi nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…