Sio mkutano, ni tamasha la zinaa na pombe DodomaWakuu,
Safari hii CCM imedoda, Watanzania wako bize na mkutano wa CHADEMA.
Mlianza na kiki ya mabasi ambayo tunajua ni upigaji, watanzania wamechamba kizungu halafu wamerudi kwenye jambo la maana kwa sasa.
Hilo limebuma eti mnaigiza kama bongo movie kujipa umuhimu! Mdogo mdogo watanzania wanaamka
Tuliojenga lodges Dom huu ni wakati wa kuvuna pesa, lakini pia mbaya zaidi ndio wakati ambao maambukizi ya VVU huwa ni makubwa sana.Dodoma imetapika.. kupata sehemu ya kulala sasa hivi ni shida
Tamasha la ukooDodoma imetapika.. kupata sehemu ya kulala sasa hivi ni shida
Kweli kabisa.Safari hii CCM imedoda, Watanzania wako bize na mkutano wa CHADEMA.
Condoms hazitumiki??Tuliojenga lodges Dom huu ni wakati wa kuvuna pesa, lakini pia mbaya zaidi ndio wakati ambao maambukizi ya VVU huwa ni makubwa sana.
Huko dodomaDodoma imetapika.. kupata sehemu ya kulala sasa hivi ni shida
Kwa hiyo mkuu kinachotokea CDM ni Cha kupendeza na Cha kuigwa na wanachama mnakifurahia Kwa sababu tu CDM inasemwa!!!!!Mwenyewe unaona umeongea point hapo?
Wakuu,
Safari hii CCM imedoda, Watanzania wako bize na mkutano wa CHADEMA.
Mlianza na kiki ya mabasi ambayo tunajua ni upigaji, watanzania wamechamba kizungu halafu wamerudi kwenye jambo la maana kwa sasa.
Hilo limebuma eti mnaigiza kama bongo movie kujipa umuhimu! Mdogo mdogo watanzania wanaamka
Ndomu zimeadimika DomKule wanakulana tunda kimasilaha balaaa.
Wanaccm mnalaana nyie. Mnakulana hatari
Dah kumbe kuna fursa kabisa Dom kipindi hiki...Ndomu zimeadimika Dom
Wenzako hamasa ipo juu kupita kawaida, wewe endelea na porojo zakoWakuu,