Pre GE2025 CCM wamefanya mpaka maigizo ya kaole lakini bado mkutano wao umedoda! Watanzania wako bize na CHADEMA

Pre GE2025 CCM wamefanya mpaka maigizo ya kaole lakini bado mkutano wao umedoda! Watanzania wako bize na CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
usiwaseme watu sema we uko bize na chadomo wanavyoparuana. Kile siyo chama ni kikundi cha wahuni, hakuna nidhamu, hakuna mkubwa, wote kambale. CCM kuna nidhamu ya hali ya juu sana huwezi utovu wa nidhamu k, wa chadomo
Hawa nyumbu ni mburura kabisa kumbe, weupeeeee kuvichwa. Nimewajua kipindi hiki. Kistratejia ccm Iko mbaaaaaali mno kutoka walipo hawa. Kwa Hali ilivyo, nauona ushindi rahisi wa 97% wa Samia hapo mwezi wa 10
 
Ule ushindi wa Nape na yule aliyekuwa mkuu wa mkoa longido au ule aliosema Januari hadi akaleftishwa?:BearLaugh::BearLaugh::KEKLaugh:
 
Siku ambayo dola ikaamua kujitenga na hiki chama basi ndio utakua mwisho wa Safari yao wasome alama za nyakati inachukua main stream media zote wasanii wote A class kuimba na kuigiza media personal wakubwa wote still CDM na mapungufu yao wana trend hii tunaita ufunuo wa TAL naamini akikamata kile kiti pale akajenga team yake jumuishi na kwakua anauungwaji mkono na makundi yote na wanataalumu basi 2025 inaweza ikawa ngumu sana kwa vegetables huu ni ufunuo hii ni kazi yakitume
 
Utapata watoto wa st john's university ukitaka ulanzi wewe tu chapati za jero jero chipsi za buku 2 humalizi mkuu. Tatizo Biesta mpinzani ana allergy na CCM
Hilo jabo dogooo sanaaa mkuu wangu.. nataka hiyo ya elfu tatu.. itapendezaa
 
Chadema wanavuana nguo.
Watanzania wanawashangaa viongozi wanavyo aibishana.
 
Mimi mtu akiwa ccm namuona Kama juha. Au mnaonaje wajameni!
Kinachonichekesha ni kwamba cdm muda wote wanaijadili CCM. Yaani Wana hofu haoooo, wakati huo CCM wako kimyaaa wanaendelea na mambo yao Huku wakiwa hata hawajui kama Kuna cdm.

Kule Dodoma Kuna watu wenye akili, ueledi, waliostaarabika na wasio washamba wameyapangilia mambo yao vizuuuuuuri kabisa yanaendelea kwa ustadi wa Hali ya juu.........hakuna vichambo Wala utafutaji wa sifa.

Enyi nyumbu msio na maono, kinachoendelea ni chengesha bwege. Hao wachache wanaowafuatilia na kuwaandika wapo kwa ajili ya huo mvutano na hivyo vijembe vinavyoendelea huko na si nini' kinajadiliwa. Ni kawaida hiyo kwa maisha yetu ya uswahilini. Kuwe na shughuli muhimu hapa, halafu wapite bodaboda weeengi na mahoni yao, watu watasimamosha masikio kwanza kuangalia tu kina nini', wakishapata jibu basi wanarudi kuendelea a shughuli zao. Huko Kuna chengesha bwege la kufa mtu kwa taarifa yenu. Issue ni nini kinafuata baada ya hapo, na hicho ndicho wenye akili kule Dodoma wanakisubiri.

Kila siku mpo kituo hiki, kituo kile. Mmewaona kule Dodoma wanahangaika kwenye media?!!!! Kuna maana kubwa kwa mwenye akili.........nyie endeleeni tu kufunga vibwebwe mkichekelea kutrend sababu ya ugomvi. Mlitarajiaje kwani?!!!! Kwanza kuchekelea kutrend ni ujinga. Chekelea mikakati. Mnaenda kupigwa pigo Moja takatifu kwa nguvu ndogo kabisa hamtoamini. Kalagha bao.
 
Wakuu,

Safari hii CCM imedoda, Watanzania wako bize na mkutano wa CHADEMA.

Mlianza na kiki ya mabasi ambayo tunajua ni upigaji, watanzania wamechamba kizungu halafu wamerudi kwenye jambo la maana kwa sasa. :BearLaugh: :KEKLaugh:

Hilo limebuma eti mnaigiza kama bongo movie kujipa umuhimu! Mdogo mdogo watanzania wanaamka
Ccm daima
 
Mbona mbowe amekimbia mdahalo 😂 au naye ameenda Dodoma
 
Siku ambayo dola ikaamua kujitenga na hiki chama basi ndio utakua mwisho wa Safari yao wasome alama za nyakati inachukua main stream media zote wasanii wote A class kuimba na kuigiza media personal wakubwa wote still CDM na mapungufu yao wana trend hii tunaita ufunuo wa TAL naamini akikamata kile kiti pale akajenga team yake jumuishi na kwakua anauungwaji mkono na makundi yote na wanataalumu basi 2025 inaweza ikawa ngumu sana kwa vegetables huu ni ufunuo hii ni kazi yakitume
CCM ilianza na TANU na ASP miaka mingi kabla Lissu hajazaliwa.

Ni chama kikubwa sana chenye mikakati misafi na michafu chenye mbinu safi na chafu.
 
Back
Top Bottom