Pre GE2025 CCM wamefanya mpaka maigizo ya kaole lakini bado mkutano wao umedoda! Watanzania wako bize na CHADEMA

Pre GE2025 CCM wamefanya mpaka maigizo ya kaole lakini bado mkutano wao umedoda! Watanzania wako bize na CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa hiyo mkuu kinachotokea CDM ni Cha kupendeza na Cha kuigwa na wanachama mnakifurahia Kwa sababu tu CDM inasemwa!!!!!
Umegeuka toka ulichosema mwanzo umeparamia kitu kingine :BearLaugh: :KEKLaugh: Ni mchakato wanaopitia katika kukiimarisha chama chao lakini pia wapo katikati ya uchaguzi, tunategemea haya kutokea... huwezi kusema haya si ya maana kwakuwa tu wengine wanafanya kitu kingine
 
Haya ni maajabu. Kwani wajumbe hawajahudhuria? Kipimo cha mkutano kudoda kimewekwa kwenye nini wakati mkutano haujafanyika wajumbe ndio wanaelekea Dodoma?

Mkutano ni wa tarehe 17&18 nafikiri kwa kutazama siku hizo ndio itakuwa sawa kusema jambo lolote kuhusu matokeo na mwitikio wa wanaccm
:BearLaugh::BearLaugh: Mkuu bana, unajifanya huoni tashtiti na hizo amsha amsha macho yote yawe huko, maigizo, nyimbo, kutuonesha magari, wasanii huwa moto kweli... leo ndio mnaona hamna haja ya attention yetu kuwa huko? Si msingepiga domo, msingetangaza mngeenda huko kimya kimya? MMEDODA, muda wa kunyooshwa tu saivi:KEKLaugh::BearLaugh::BearLaugh:
 
Wakuu,

Safari hii CCM imedoda, Watanzania wako bize na mkutano wa CHADEMA.

Mlianza na kiki ya mabasi ambayo tunajua ni upigaji, watanzania wamechamba kizungu halafu wamerudi kwenye jambo la maana kwa sasa. :BearLaugh: :KEKLaugh:

Hilo limebuma eti mnaigiza kama bongo movie kujipa umuhimu! Mdogo mdogo watanzania wanaamka
Aibu sana!
 
Kinachonichekesha ni kwamba cdm muda wote wanaijadili CCM. Yaani Wana hofu haoooo, wakati huo CCM wako kimyaaa wanaendelea na mambo yao Huku wakiwa hata hawajui kama Kuna cdm.

Kule Dodoma Kuna watu wenye akili, ueledi, waliostaarabika na wasio washamba wameyapangilia mambo yao vizuuuuuuri kabisa yanaendelea kwa ustadi wa Hali ya juu.........hakuna vichambo Wala utafutaji wa sifa.

Enyi nyumbu msio na maono, kinachoendelea ni chengesha bwege. Hao wachache wanaowafuatilia na kuwaandika wapo kwa ajili ya huo mvutano na hivyo vijembe vinavyoendelea huko na si nini' kinajadiliwa. Ni kawaida hiyo kwa maisha yetu ya uswahilini. Kuwe na shughuli muhimu hapa, halafu wapite bodaboda weeengi na mahoni yao, watu watasimamosha masikio kwanza kuangalia tu kina nini', wakishapata jibu basi wanarudi kuendelea a shughuli zao. Huko Kuna chengesha bwege la kufa mtu kwa taarifa yenu. Issue ni nini kinafuata baada ya hapo, na hicho ndicho wenye akili kule Dodoma wanakisubiri.

Kila siku mpo kituo hiki, kituo kile. Mmewaona kule Dodoma wanahangaika kwenye media?!!!! Kuna maana kubwa kwa mwenye akili.........nyie endeleeni tu kufunga vibwebwe mkichekelea kutrend sababu ya ugomvi. Mlitarajiaje kwani?!!!! Kwanza kuchekelea kutrend ni ujinga. Chekelea mikakati. Mnaenda kupigwa pigo Moja takatifu kwa nguvu ndogo kabisa hamtoamini. Kalagha bao.
Buhahahaaa.... bana weeee wapi wameijadili CCM bana, wapo kwenye media kuwajadili ninyi, si mngetamba saivi mngekuwa hamuhangaiki na wasanii kuotoa nyimbo ili tuwafatilie.... safari hii mmepewa mkausho wa maana, yaani shwaaaaa. Raia wanaamka bana, unga wa ndele unatapikwa sasa akili zinarudi
 
Wakuu,

Safari hii CCM imedoda, Watanzania wako bize na mkutano wa CHADEMA.

Mlianza na kiki ya mabasi ambayo tunajua ni upigaji, watanzania wamechamba kizungu halafu wamerudi kwenye jambo la maana kwa sasa. :BearLaugh: :KEKLaugh:

Hilo limebuma eti mnaigiza kama bongo movie kujipa umuhimu! Mdogo mdogo watanzania wanaamka
Ccm hawana mvuti
 
:BearLaugh::BearLaugh: Mkuu bana, unajifanya huoni tashtiti na hizo amsha amsha macho yote yawe huko, maigizo, nyimbo, kutuonesha magari, wasanii huwa moto kweli... leo ndio mnaona hamna haja ya attention yetu kuwa huko? Si msingepiga domo, msingetangaza mngeenda huko kimya kimya? MMEDODA, muda wa kunyooshwa tu saivi:KEKLaugh::BearLaugh::BearLaugh:
Hata sielewi unazunguzmiwa anayenyooshwa nani? Mkutano wa CDM au Ccm unamnyoosha nani? Hivi CCM wakitoka kwenye mkutano huo wa Dodoma wanaweza kusema wamewanyoosha CDM? Utakuwa ni ujinga my lovely cute wife
 
:KEKLaugh::BearLaugh::BearLaugh: tuoneshe basi hiyo hamasa, mmebuma hadi maigizo hayasaidii, hadi imebidi Kiba atoe wimbo lakini wapiiiiii:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:
Wewe hujaona barabara zote zimejaa magari ya kazi iendelee yakienda "chimwaga"?????
SGR ticketi zimeisha hadi wameamua kuongeza safari kwa siku just for emergency.
Dodoma kumetapika.
 
Wakuu,

Safari hii CCM imedoda, Watanzania wako bize na mkutano wa CHADEMA.

Mlianza na kiki ya mabasi ambayo tunajua ni upigaji, watanzania wamechamba kizungu halafu wamerudi kwenye jambo la maana kwa sasa. :BearLaugh: :KEKLaugh:

Hilo limebuma eti mnaigiza kama bongo movie kujipa umuhimu! Mdogo mdogo watanzania wanaamka
usiwaseme watu sema we uko bize na chadomo wanavyoparuana. Kile siyo chama ni kikundi cha wahuni, hakuna nidhamu, hakuna mkubwa, wote kambale. CCM kuna nidhamu ya hali ya juu sana huwezi utovu wa nidhamu k, wa chadomo
 
Back
Top Bottom