Pre GE2025 CCM wamefanya mpaka maigizo ya kaole lakini bado mkutano wao umedoda! Watanzania wako bize na CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa hiyo mkuu kinachotokea CDM ni Cha kupendeza na Cha kuigwa na wanachama mnakifurahia Kwa sababu tu CDM inasemwa!!!!!
Umegeuka toka ulichosema mwanzo umeparamia kitu kingine Ni mchakato wanaopitia katika kukiimarisha chama chao lakini pia wapo katikati ya uchaguzi, tunategemea haya kutokea... huwezi kusema haya si ya maana kwakuwa tu wengine wanafanya kitu kingine
 
Wenzako hamasa ipo juu kupita kawaida, wewe endelea na porojo zako
tuoneshe basi hiyo hamasa, mmebuma hadi maigizo hayasaidii, hadi imebidi Kiba atoe wimbo lakini wapiiiiii
 
Mkuu bana, unajifanya huoni tashtiti na hizo amsha amsha macho yote yawe huko, maigizo, nyimbo, kutuonesha magari, wasanii huwa moto kweli... leo ndio mnaona hamna haja ya attention yetu kuwa huko? Si msingepiga domo, msingetangaza mngeenda huko kimya kimya? MMEDODA, muda wa kunyooshwa tu saivi
 
Aibu sana!
 
Buhahahaaa.... bana weeee wapi wameijadili CCM bana, wapo kwenye media kuwajadili ninyi, si mngetamba saivi mngekuwa hamuhangaiki na wasanii kuotoa nyimbo ili tuwafatilie.... safari hii mmepewa mkausho wa maana, yaani shwaaaaa. Raia wanaamka bana, unga wa ndele unatapikwa sasa akili zinarudi
 
Ccm hawana mvuti
 
Hata sielewi unazunguzmiwa anayenyooshwa nani? Mkutano wa CDM au Ccm unamnyoosha nani? Hivi CCM wakitoka kwenye mkutano huo wa Dodoma wanaweza kusema wamewanyoosha CDM? Utakuwa ni ujinga my lovely cute wife
 
tuoneshe basi hiyo hamasa, mmebuma hadi maigizo hayasaidii, hadi imebidi Kiba atoe wimbo lakini wapiiiiii
Wewe hujaona barabara zote zimejaa magari ya kazi iendelee yakienda "chimwaga"?????
SGR ticketi zimeisha hadi wameamua kuongeza safari kwa siku just for emergency.
Dodoma kumetapika.
 
usiwaseme watu sema we uko bize na chadomo wanavyoparuana. Kile siyo chama ni kikundi cha wahuni, hakuna nidhamu, hakuna mkubwa, wote kambale. CCM kuna nidhamu ya hali ya juu sana huwezi utovu wa nidhamu k, wa chadomo
 
nyie endeleeni na trend zenu, ila kumbuka ule mstari "mpaka waisome namba eee" tukutane October
Kwa wizi sawa.
Ila ujue tu, wizi hauwezi kutamalaki milele, umma umeshachoka na kukinai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…