Kipindi cha Magufuli madarakani alivipiga pin vyama vya upinzani lakini moja kati ya kitu alikiweza ni kugusa raia wengi hasa wale wa Hali ya chini na ndio maana akawa anasapoti kubwa ya watu akifanya Mambo mengi makubwa kulikuwa hakuna suala la kukatika umeme na ikitokea lazima uone Taarifa imetolewa, Suala upatikanaji wa maji ulikuwa wa juu hasa kwasisi watu wa Ubungo, Kimara na Mbezi ambapo tulikuwa tunashida ya maji ya kudumu chini ya huyu Mwamba alitatua Hilo tatizo, ofisi nyingi za Serikali zilizokuwa zinatoa huduma kwa wananchi zilikuwa active na zinawajibika unapata huduma bila kubaguliwa hakuna suala la unajua Mimi nani hii ilimfanya Magufuli kumuongelea umaarufu.Kutokana uungwaji mkono mkubwa wa raia kwa Magufuli hata pale Mange alivyoitisha maandamano ilibuma na hata Chadema wenyewe maandamano yao dhidi ya Serikali ya awamu ya Tano hayakufanikiwa kwasababu gani? Ni kama nilivyoelezea.
Tukija kwa Serikali ya awamu hii imeshindwa kujua adui au mpinzani wao halisi ni Nani? Badala yake wamejikita kupigana vita kupitia silaha zao za vita kutaka kukiua Chadema ikiwemo kumpa kesi feki Mwenyekiti wao wa Chadema Tundu Lissu, Kupambana na wakosoaji. Mfano mzuri Maandamano ya October 29 yalitokea viongozi wa wa Chadema walikuwa magerezani lakini kwanini kwa mara ya Kwanza yalitokea ni kwasababu Serikali hii ipwaya kwenye mambo mengi.Raisi Mama Samia alitakiwa ajue hivi Chadema na Vyama vya upinzani pamoja na Wanaharakati si lolote Kama Serikali yake ingejikita kukidhi mahitaji ya Wanatanzania kitendo chake cha Serikali yake kuwa mbovu ndio imechochea hasira na chuki ya raia juu yake na kutokana na hivyo wametengeneza maadui kila pande kwa Vyama shindani, Wanaharakati na Wananchi Wenyewe.
Kama CCM hawatajitafari kusawazisha mambo watazidi kuwa kwenye nyakati mbaya zaidi kosa wamefanya kumteua Raisi asiye na uwezo na madhara mengine yatazidi kujitokeza kama wataendelea kukaza fuvu.