CCM wameufyata kwa Dr. Bashiru Ally au mama ndiyo haungwi mkono na ccm?

Fanya kazi ndugu yangu. Hii tabia ya kutaka mifarakano haina faida kwako wala kwa nchi. #Umoja wa kitaifa ndiyo silaha ya ushindi ktk kuleta maendeleo🙏🙏🙏
Nani anayetaka mifarakano kati ya :-
-mm na Lusinde (Kibajaji)?
-mm na Kigwangalla (HK)?
-mm na UVCCM Kihongosi?

Dr. Bashiru katoa maoni yake wao wanamkoromea
 
Nani anayetaka mifarakano kati ya :-
-mm na Lusinde (Kibajaji)?
-mm na Kigwangalla (HK)?
-mm na UVCCM Kihongosi?

Dr. Bashiru katoa maoni yake wao wanamkoromea
Wana CCM wanajuana wenyewe.Ingawa Bashiru alijisahau baada ya "kugawiwa" madaraka makubwa enzi za jiwe za kale.Halafu,akumbuke aliibuliwa tu from no where!Akawabana watu fulani na kuwaumbua.Hivi sasa wanataka kum-outsmart aonekane mkebe.Agangamale hivyohivyo ili tuone panapo vuja.
 
Ndugai alikua ni kiongozi mkubwa (Spika wa bunge) ambae kama yeye hapatani na Rais ina maana bunge halipatani na Rais! Na mnajua kinachoweza kutokea kama bunge halipatani na Rais. Ila Dr Bashiru yeye ni mbunge tuu tena wa kuteuliwa na hana uongozi wowote, hana jimbo analoliongoza wala hana ofisi anayoiongoza kwahyo Rais na CCM wameona haina haja kupoteza nguvu kwa mtu asie na makali
 
Siti za Mbele kabisa tukichochea Kuni
 
Kwani hujaona matokeo ya kauli ile. Malkia wa nyuki alianza safari saa sita mchana kwa gari kwenda arusha badala ya ndege kama alivyozoea huku jua likiwa kali na akawa anasimama njiani kusikiliza kero akiwa na mawaziri.
 
Mkuu

Huyu sio ndugai,huyu alikuwa katibu Mkuu kiongozi,

Kimfumo ni mtu mkubwa na ana connection kubwa Sana ndani ya vyombo vya usalama wa NCHI!!

Sio wa kukurupukia huyu jamaa!!

Kadiri tunavyo approach miaka miwili tangu hayati aende KWA Mwenyezi mengi lazima yajiri!!
 

Hicho ulichokitaja huyu unayemsemea hata hakijui. Uzuri mnaamini vitu hata msivyokuwa na uelewa navyo.

Bashiru ni panya chamani chama hakiwezi kudeal na yeye.
 

Hana makali?!! Jiongeze kidogo tu alipataje lile jukwaa alilosemea aliyosema?
 
Asilimia kubwa sisi wana ccm hatumuelewi kabisa Huyu rais.Tumefurahishwa sana na dr bashiru kusema ukweli
 
Kwani huyo mama allipitishwa na chama gani kuwa mgombea mwenza ? Au hakikujua hata maana ya mgombea mwenza?
 
PhD ya siasa bila pesa mfukoni ni kazi bure. Siasa inaenda na pesa miaka hii. Bashiru hamna kitu.

Nyerere alikuwa na shilingi ngapi wakati
anadai uhuru wa Tanganyika au wazungu walio tutawala nao walikuwa hawana fedha?
 
PhD ya siasa bila pesa mfukoni ni kazi bure. Siasa inaenda na pesa miaka hii. Bashiru hamna kitu.
Yaan ww ndio haujui kitu kabisa kuhusu watu na nchi hii.Yaan katibu mkuu wa CCM miaka takribani minne unajilinganisha nae ?Yaan senior lecturer wa miaka mingi unajilinganisha nae.Kakojee ulale hujui kitu .
 
Kwani hujaona matokeo ya kauli ile. Malkia wa nyuki alianza safari saa sita mchana kwa gari kwenda arusha badala ya ndege kama alivyozoea huku jua likiwa kali na akawa anasimama njiani kusikiliza kero akiwa na mawaziri.
Wewe sukuma gang wacha uwongo. Hakuna namna Bashiru akamtetesha Rais Wa nchi hata angeongea nini. He is simply nothing.
Rais tayari alishakuwa na ratiba ya kutembelea Mkoa wa Manyara wa wananchi wa wilaya ya Babati ambapo Rais alitakiwa kupewa brief ya maendeleo ya mradi Wa maji tulishapewa taarifa tangu mwanzoni mwa October. Kwa hiyo ziara hii haina uhusiano wowote na kuropoka kwa Bashiru Ally
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…