- Thread starter
- #21
Nani anayetaka mifarakano kati ya :-Fanya kazi ndugu yangu. Hii tabia ya kutaka mifarakano haina faida kwako wala kwa nchi. #Umoja wa kitaifa ndiyo silaha ya ushindi ktk kuleta maendeleo🙏🙏🙏
-mm na Lusinde (Kibajaji)?
-mm na Kigwangalla (HK)?
-mm na UVCCM Kihongosi?
Dr. Bashiru katoa maoni yake wao wanamkoromea