CCM wanachekesha Sana, wanakwenda kuchagua bila kujua watamchagua nani!

Sawa. Twende taratibu, huko kwenye kamati Kuu anayependekeza ni nani na vigezo vinavyotumika hadi mtu apendekezwe ni vipi?
Vikao vya chama na maamuzi ya chama ni siri na siyo upayukaji kama huko CHADEMA. Kwani umeona wapi wana CCM wakilalamika? Tupo kimya kwa sababu tuna elewa kila kitu kinachopaswa kufanyika katika kila hatua na hatua zote zipo sawa na mambo ni moto moto tu na Taifa lijiandae kulipuka kwa shangwe, vifijo na nderemo
 
Wewe unamjua atakayependekezwa?
 
na kububujikwa na machozi mh chawa Luca
 
Kwa siku mbili kati ya tarehe 18,19/01/2025, CCM itakuwa na mkutano wake maalum huko Dodoma.

Kwenye mkutano huo, pamoja na mambo mengine, wajumbe watapiga kura ya kumthibitisha (siyo kumchagua ) Makamo Mwenyekiti wa chama hicho kwa upande wa Tanganyika.

Leo siku tatu kabla ya mkutano huo kuanza, wajumbe hawajui ni nani wanayekwenda kumthibitisha awe Makamo Mwenyekiti wao kwa upande wa Tanganyika.

Katiba ya CCM inasema kuwa, Makamo wa Mwenyekiti atapendekezwa na Kamati Kuu kwa Halmashauri Kuu ya chama hicho ambayo ndiyo itapendekeza Kwa mkutano Mkuu, jina la anayetakiwa awe Makamo Mwenyekiti kwa ajili ya kuthibitishwa.

Sasa hao wajumbe mpaka Leo hawajui nani atakuwa Makamo wa Mwenyekiti wao, halafu CCM inajisifu kuwa yenyewe ni chama kikubwa.

Chama gani kikubwa kinachoendesha mambo kizamani sana kama jando au unyago?

Machawa wanaogejea waletewe kiongozi wasiyemjua wala kumchagua, waanze kumpamba.

CC.

Machawa wote.
CCM ni chama kikubwa Afrika namba mbili baada ya ANC. Kwa chama kilichokaa madarakani muda mrefu sana Afrika, CCM ni namba moja.

Usiisharau wala kuichezea hii CV.
 
Kwani papa huwa anapatikanaje? Hiyo ni mifumo tu,na ndo ujue nguvu ya siri,sasa kama wa kipitisha anajilikana mapema mkutani wa nini?
Mfumo wa Papa umeegemezwa kwenye nadharia za KIROHO kwamba Makadinali wataongozwa na roho mtakatifu kumchagua Papa.

Sasa kamati Kuu ya CCM inaongozwa na kitu gani? CCM ni chama Cha siasa kwa ivo kinatakiwa kiendeshwe kisiasa pia
 
CCM ni chama kikubwa Afrika namba mbili baada ya ANC. Kwa chama kilichokaa madarakani muda mrefu sana Afrika, CCM ni namba moja.

Usiisharau wala kuichezea hii CV.
Hapa unakaririshwa mambo. Pia CCM haipo madarakani kutokana na weledi wake bali kutokana na wizi wa kura.

Turudi kwenye hoja. Wajumbe wanakwenda Dodoma kumthibitisha nani?
 
CCM tumefundwa na kufundishwa kutunza siri.siwezi kamwe na katu kukwambia kabla ya kutolewa kwa taarifa rasmi.
Wewe ndiyo mpendekezaji wa hilo jina? Najua unasuburi atajwe uanze kumpamba.

Huu ni udhaifu mkubwa sana kwa CCM. Yaani maelfu ya watu wanakwenda Dodoma kigiza giza bila kuelezwa wanakwenda kumthibitisha nani?

Hata hao Kamati Kuu wenyewe hawajui ni nani atakuwa Makamo Mwenyekiti wao. Sasa wapo kwenye chama kwa kazi gani?
 
Kwa siku mbili kati ya tarehe 18,19/01/2025, CCM itakuwa na mkutano wake maalum huko Dodoma.

Kwenye mkutano huo, pamoja na mambo mengine, wajumbe watapiga kura ya kumthibitisha (siyo kumchagua ) Makamo Mwenyekiti wa chama hicho kwa upande wa Tanganyika.

Leo siku tatu kabla ya mkutano huo kuanza, wajumbe hawajui ni nani wanayekwenda kumthibitisha awe Makamo Mwenyekiti wao kwa upande wa Tanganyika.

Katiba ya CCM inasema kuwa, Makamo wa Mwenyekiti atapendekezwa na Kamati Kuu kwa Halmashauri Kuu ya chama hicho ambayo ndiyo itapendekeza Kwa mkutano Mkuu, jina la anayetakiwa awe Makamo Mwenyekiti kwa ajili ya kuthibitishwa.

Sasa hao wajumbe mpaka Leo hawajui nani atakuwa Makamo wa Mwenyekiti wao, halafu CCM inajisifu kuwa yenyewe ni chama kikubwa.

Chama gani kikubwa kinachoendesha mambo kizamani sana kama jando au unyago?

Machawa wanaogejea waletewe kiongozi wasiyemjua wala kumchagua, waanze kumpamba.

CC.

Machawa wote.
Hata kama humjui unapaswa kumchagua tu, Vinginevyo utatekwa
 
Back
Top Bottom