Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
Ila kuna advantage ya hiyo kwamba hata machawa hawana makambiWanayekwenda kumpigia kura hajulikani, Sasa huo msisimko utatoka wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila kuna advantage ya hiyo kwamba hata machawa hawana makambiWanayekwenda kumpigia kura hajulikani, Sasa huo msisimko utatoka wapi?
Ila uwezekano wa kugeuzwa chawa wa Mwenyekiti wao ni mkubwa sana.Ila kuna advantage ya hiyo kwamba hata machawa hawana makambi
SahihiWanaenda kuambukizana Marburg virus huko halafu wataisambaza Tanzania nzima.
Haya ni matutusaWewe ndiyo mpendekezaji wa hilo jina? Najua unasuburi atajwe uanze kumpamba.
Huu ni udhaifu mkubwa sana kwa CCM. Yaani maelfu ya watu wanakwenda Dodoma kigiza giza bila kuelezwa wanakwenda kumthibitisha nani?
Hata hao Kamati Kuu wenyewe hawajui ni nani atakuwa Makamo Mwenyekiti wao. Sasa wapo kwenye chama kwa kazi gani?
Hivi hawa watu hawajui haya mambo au wanadharau tu?Sahihi
Wakitoka Dodoma Wataanza Kupukutika
CCM wasiri sio waropokaji kama LusuLeo siku tatu kabla ya mkutano huo kuanza, wajumbe hawajui ni nani wanayekwenda kumthibitisha awe Makamo Mwenyekiti wao kwa upande wa Tanganyika.
Katiba ya CCM inasema kuwa, Makamo wa Mwenyekiti atapendekezwa na Kamati Kuu kwa Halmashauri Kuu ya chama hicho ambayo ndiyo itapendekeza Kwa mkutano Mkuu, jina la anayetakiwa awe Makamo Mwenyekiti kwa ajili ya kuthibitishwa.
Sasa hao wajumbe mpaka Leo hawajui nani atakuwa Makamo wa Mwenyekiti wao, halafu CCM inajisifu kuwa yenyewe ni chama kikubwa.
Wanadharau Wakati UN Imetangaza Mpaka Idadi Ya VifoHivi hawa watu hawajui haya mambo au wanadharau tu?
Wao si ndio wenye taarifa zote?
Kazi yake kububujikwa na machozi Kwa ajili ya mama😂Wewe hata katiba unaijua basi? Wewe eneo lako ni kupiga makofi,vigelegele na kukata mauno kusherehesha wajumbe.
Hivi huo mkutano wa CCM ni wa siri, mbona hausikiki?Kwa siku mbili kati ya tarehe 18,19/01/2025, CCM itakuwa na mkutano wake maalum huko Dodoma.
Kwenye mkutano huo, pamoja na mambo mengine, wajumbe watapiga kura ya kumthibitisha (siyo kumchagua ) Makamo Mwenyekiti wa chama hicho kwa upande wa Tanganyika.
Leo siku tatu kabla ya mkutano huo kuanza, wajumbe hawajui ni nani wanayekwenda kumthibitisha awe Makamo Mwenyekiti wao kwa upande wa Tanganyika.
Katiba ya CCM inasema kuwa, Makamo wa Mwenyekiti atapendekezwa na Kamati Kuu kwa Halmashauri Kuu ya chama hicho ambayo ndiyo itapendekeza Kwa mkutano Mkuu, jina la anayetakiwa awe Makamo Mwenyekiti kwa ajili ya kuthibitishwa.
Sasa hao wajumbe mpaka Leo hawajui nani atakuwa Makamo wa Mwenyekiti wao, halafu CCM inajisifu kuwa yenyewe ni chama kikubwa.
Chama gani kikubwa kinachoendesha mambo kizamani sana kama jando au unyago?
Machawa wanaogejea waletewe kiongozi wasiyemjua wala kumchagua, waanze kumpamba.
CC.
Machawa wote.
Vikao vya kamati kuu na halmashauri kuu kwenye kuteua jina huwa siriHivi huo mkutano wa CCM ni wa siri, mbona hausikiki?
Maelezo mareefu lakini umerudia kuandika nilichoandika. Kuna mahali nimekosoa huo mfuatano wa vikao vyenu?CCM wasiri sio waropokaji kama Lusu
Vikao vyote hufuatana mfululizo
Kinaanza kikao cha kanati kuu kinakaa kinajadili jina na kulithibitisha na huwa siri
Kisha jina hilo hupelekwa kikao cha halmashauri kuu na wao hujadili na kupigia kura na kufanya siri
Wakipitisha ndipo hupelekwa kwenye mkutano mkuu wakiwa kikao ndani ambapo kuanzia hapo huwa ni wazi siku hiyo vyombo vyote linapotangazwa jina la mgombea
Hapo haiwi siri tena sababu mkutano mkuu ndio huidhinisha hilo jina
Hakuna kipengele cha katiba kilichokiukwa
Mkutano mkuu wanasubiri mchakato wa ndani wa kamati kuu na halmashauri waletewe jina
Wakina makala na ile top layer ya mafisadi wakuu wa ccm wote wanajua fisadi mwenzao wanayekwenda kumpachika kwenye hiyo nafasi, ni vidagaa wa humu tu wasiomjua mteuliwaKwa siku mbili kati ya tarehe 18,19/01/2025, CCM itakuwa na mkutano wake maalum huko Dodoma.
Kwenye mkutano huo, pamoja na mambo mengine, wajumbe watapiga kura ya kumthibitisha (siyo kumchagua ) Makamo Mwenyekiti wa chama hicho kwa upande wa Tanganyika.
Leo siku tatu kabla ya mkutano huo kuanza, wajumbe hawajui ni nani wanayekwenda kumthibitisha awe Makamo Mwenyekiti wao kwa upande wa Tanganyika.
Katiba ya CCM inasema kuwa, Makamo wa Mwenyekiti atapendekezwa na Kamati Kuu kwa Halmashauri Kuu ya chama hicho ambayo ndiyo itapendekeza Kwa mkutano Mkuu, jina la anayetakiwa awe Makamo Mwenyekiti kwa ajili ya kuthibitishwa.
Sasa hao wajumbe mpaka Leo hawajui nani atakuwa Makamo wa Mwenyekiti wao, halafu CCM inajisifu kuwa yenyewe ni chama kikubwa.
Chama gani kikubwa kinachoendesha mambo kizamani sana kama jando au unyago?
Machawa wanaogejea waletewe kiongozi wasiyemjua wala kumchagua, waanze kumpamba.
CC.
Machawa wote.
Duh hata sielewi kumbe Kuna mamboWanadharau Wakati UN Imetangaza Mpaka Idadi Ya Vifo
Pia Ban Ya Kutosafiri Ili Kuepusha Kusambaza Vifusi
Watapukutika Hawa
in Magembe Voice
Utakufa Vibaya Wewe, Nakuonea Huruma
Kwenye kamati Kuu jina linatoka kwa Mwenyekiti. Hao kina Makala hawana walijualo.Wakina makala na ile top layer ya mafisadi wakuu wa ccm wote wanajua fisadi mwenzao wanayekwenda kumpachika kwenye hiyo nafasi, ni vidagaa wa humu tu wasiomjua mteuliwa
Mi ndo sijui kabisa.asanteni Kwa taarifaHivi hawa watu hawajui haya mambo au wanadharau tu?
Wao si ndio wenye taarifa zote?
Wanasombwa kwenda kikaoni kumjadili na kumpitisha sio barabaraniMaelezo mareefu lakini umerudia kuandika nilichoandika. Kuna mahali nimekosoa huo mfuatano wa vikao vyenu?
Hoja yangu ni aina siasa za kizamani kusomba maelfu ya watu toka mikoa yote ya nchi kwenda kumpigia kura mtu wasiyejua atakuwa nani!
Yaani Leo siku 3 kabla ya mkutano wajumbe hawajui wanakwenda kumthibitisha nani wewe unaona sawa.
Nani anajua huyo anayekwenda kuthibitishwa ni nani zaidi ya Mwenyekiti wa chama chenu?
Mama kaweka majina yake kwenye sidiria.Kwa siku mbili kati ya tarehe 18,19/01/2025, CCM itakuwa na mkutano wake maalum huko Dodoma.
Kwenye mkutano huo, pamoja na mambo mengine, wajumbe watapiga kura ya kumthibitisha (siyo kumchagua ) Makamo Mwenyekiti wa chama hicho kwa upande wa Tanganyika.
Leo siku tatu kabla ya mkutano huo kuanza, wajumbe hawajui ni nani wanayekwenda kumthibitisha awe Makamo Mwenyekiti wao kwa upande wa Tanganyika.
Katiba ya CCM inasema kuwa, Makamo wa Mwenyekiti atapendekezwa na Kamati Kuu kwa Halmashauri Kuu ya chama hicho ambayo ndiyo itapendekeza Kwa mkutano Mkuu, jina la anayetakiwa awe Makamo Mwenyekiti kwa ajili ya kuthibitishwa.
Sasa hao wajumbe mpaka Leo hawajui nani atakuwa Makamo wa Mwenyekiti wao, halafu CCM inajisifu kuwa yenyewe ni chama kikubwa.
Chama gani kikubwa kinachoendesha mambo kizamani sana kama jando au unyago?
Machawa wanangejea waletewe kiongozi wasiyemjua wala kumchagua, waanze kumpamba.
CC.
Machawa wote.
Hii ni sahihi.Kwa siku mbili kati ya tarehe 18,19/01/2025, CCM itakuwa na mkutano wake maalum huko Dodoma.
Kwenye mkutano huo, pamoja na mambo mengine, wajumbe watapiga kura ya kumthibitisha (siyo kumchagua ) Makamo Mwenyekiti wa chama hicho kwa upande wa Tanganyika.
Leo siku tatu kabla ya mkutano huo kuanza, wajumbe hawajui ni nani wanayekwenda kumthibitisha awe Makamo Mwenyekiti wao kwa upande wa Tanganyika.
Katiba ya CCM inasema kuwa, Makamo wa Mwenyekiti atapendekezwa na Kamati Kuu kwa Halmashauri Kuu ya chama hicho ambayo ndiyo itapendekeza Kwa mkutano Mkuu, jina la anayetakiwa awe Makamo Mwenyekiti kwa ajili ya kuthibitishwa.
Sasa hao wajumbe mpaka Leo hawajui nani atakuwa Makamo wa Mwenyekiti wao, halafu CCM inajisifu kuwa yenyewe ni chama kikubwa.
Chama gani kikubwa kinachoendesha mambo kizamani sana kama jando au unyago?
Machawa wanangejea waletewe kiongozi wasiyemjua wala kumchagua, waanze kumpamba.
CC.
Machawa wote.
Tunajua watapewa kikaoni. Ila huoni kupewa jina siku moja kabla ya kumchagua huyo mtu ni aina fulani hivi ya siasa za kizamani?jina wanapewa vikaoni sio kwenye mabasi au bodaboda barabarani