kama hayo ulioyaandika yana ukweli wowote, kwa nini China inaendelea kwa kasi kwa maana aliyoyafanya Mwalimu Nyerere ni copy&paste kutoka nchi kama China, makampuni makubwa yote ya China ni state owned hata BYD ya magari serikali imo hilo unalielezeaje? mbona Vietnam communist country kama tanzagiza leo inafanya vizuri na kampuni zake zina global presence? Viettel ni 100% state owned company ya Vietnam ni success story revenues ni 7 billions dollars company ( check it out Viettel) imeinvest Dunia nzima na Vietnam haina tofauti na tanzagiza kimfumo viwanda vyote vietnam ni state owned, leo hii vietnam wanaongoza duniani kwa kutengeneza na ku export viatu, textiles, electronics na vyote ni state owned, how do you explain that? tanzagiza tumeshindwa vipi kuigeuza ttcl kuwa kama viettel ya Vietnam? tumeshindwa kuitumia tanesco kuwa big multinational company, evn tanesco ya Vietnam ni state owned inazalisha 25 000 MW of electricity vs tanesco tanzagiza <2000 mw kafulila kaenda kuiuza tanesco yetu india tena kwa criminal ambaye arrest warrant imekuwa issued against him na USA, soma kuhusu evn ya Vietnam inaendeshwa na serikali, tumeshindwa hata kuendesha bandari, Singapore bandari ni state owned ni success story, tanzagiza tumeigawa bure halafu tunasifia big ships zinazoleta imports kuuwa viwanda vya ndani bado unamlaumu tu Mwalimu Nyerere ambaye ameondoka 1985 madarakani?
isitoshe kenya haikutaifisha kiwanda chochote kile leo hii viwanda vyote vya unilever vilivyokuwepo vimesepa how do you explain that?
KNCU was the largest cooperative union in afrika a success story, imejenga mkoa wa klm leo hii imekufa, how do you explain that?