Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa, upo tayari upewe ukumbi wa kupigania hayo maslahi ya watanzania ewe shupavu miongoni mwa laki tano hadi milioni moja? Kuna namna inaweza fanyika ukaachana na porojo ukapigania hiyo katiba.Usinifanye kuwa kilaza kama wewe usiyeelewa kitu.
Lakini ngoja nikusifu kwa kutambua hili uliloandika hapa mwenyewe, kama kweli unaelewa ulichoandika:
"Ila ujumbe ulitolewa leo ni kuwa humu nchini hakuna mwanasiasa atakayetoa kafara maslahi yake, ya kiutawala ili ampatie maslahi mwanasiasa mwingine"
Kama unaelewa maana ya maneno hayo uliyoandika hapa, sina sababu kabisa ya kuhangaika na wewe, ila kwa jambo moja tu usilolielewa vizuri kama inavyoonyesha kukomalia kwako kwa jambo hili.
Maslahi ya Tanzania (waTanzania), kamwe usiyachanganye na maslahi ya wanasiasa, iwe CCM, CHADEMA au chama kingine chochote cha siasa.
Wananchi wataungana na chama chochote/ kundi lolote litakalosimamia matakwa yao kuondoa dhulma za wazi amabazo sasa CCM wanaonyesha kwa wananchi wa nchi hii.
Wewe utaendelea kuimba hapa ukidharau juhudi hizo zinazofanywa kwa njia mbalimbali, ikiwemo na kujifanya kwamba wananchi hawana mahitaji ya Katiba Mpya, kwa vile tu kundi lako la utawala linafaidika na hali hiyo. Kuwa kipofu kwa maksudi hiyo ni hiari yenu, lakini haitazuia mabadiliko yanayokuja kuwafyekea mbali kama hamtazinduka toka kwenye ndoto hizi mbaya zinazowasumbua wakati huu.
Unadai hapo juu, kwamba hakuna wananchi wanaoweza kukabili bunduki milioni tano. Nikuhakikishie kwamba haihitajiki wananchi milioni tano; laki tano hadi milioni moja inatosha kabisa kuwatupilia mbali wavunja haki za waTanzania nyinyi mliolewa madaraka.
Safari hii hamponi.
unajadiliana na mtu ambaye akili kazikabidhi kwa mama...chizi atakupotezea muda, ukijaribu kumwambia jalala ni chafu wakati mwenzio anajiona yupo KFC.Usinifanye kuwa kilaza kama wewe usiyeelewa kitu.
Lakini ngoja nikusifu kwa kutambua hili uliloandika hapa mwenyewe, kama kweli unaelewa ulichoandika:
"Ila ujumbe ulitolewa leo ni kuwa humu nchini hakuna mwanasiasa atakayetoa kafara maslahi yake, ya kiutawala ili ampatie maslahi mwanasiasa mwingine"
Kama unaelewa maana ya maneno hayo uliyoandika hapa, sina sababu kabisa ya kuhangaika na wewe, ila kwa jambo moja tu usilolielewa vizuri kama inavyoonyesha kukomalia kwako kwa jambo hili.
Maslahi ya Tanzania (waTanzania), kamwe usiyachanganye na maslahi ya wanasiasa, iwe CCM, CHADEMA au chama kingine chochote cha siasa.
Wananchi wataungana na chama chochote/ kundi lolote litakalosimamia matakwa yao kuondoa dhulma za wazi amabazo sasa CCM wanaonyesha kwa wananchi wa nchi hii.
Wewe utaendelea kuimba hapa ukidharau juhudi hizo zinazofanywa kwa njia mbalimbali, ikiwemo na kujifanya kwamba wananchi hawana mahitaji ya Katiba Mpya, kwa vile tu kundi lako la utawala linafaidika na hali hiyo. Kuwa kipofu kwa maksudi hiyo ni hiari yenu, lakini haitazuia mabadiliko yanayokuja kuwafyekea mbali kama hamtazinduka toka kwenye ndoto hizi mbaya zinazowasumbua wakati huu.
Unadai hapo juu, kwamba hakuna wananchi wanaoweza kukabili bunduki milioni tano. Nikuhakikishie kwamba haihitajiki wananchi milioni tano; laki tano hadi milioni moja inatosha kabisa kuwatupilia mbali wavunja haki za waTanzania nyinyi mliolewa madaraka.
Safari hii hamponi.
Mbona tayari ukumbi mnauandaa wenyewe, au huna taarifa?Sawa, upo tayari upewe ukumbi wa kupigania hayo maslahi ya watanzania ewe shupavu miongoni mwa laki tano hadi milioni moja? Kuna namna inaweza fanyika ukaachana na porojo ukapigania hiyo katiba.
Najuwa.Naj
unajadiliana na mtu ambaye akili kazikabidhi kwa mama...chizi atakupotezea muda, ukijaribu kumwambia jalala ni chafu wakati mwenzio anajiona yupo KFC.
Brother, wale wahariri wa gazeti la Uhuru waliochapisha, mpaka likaingia mitaani, tayari wameshaonyesha wazi wazi kuwa wanataka Katiba mpya. Time will tell.Alituuliza lini kama tunahitaji tume huru na katiba mpya tukamwambia hatutaki? CCM iache tabia ya kuwa msemaji wa wananchi. Hii nchi tuachwe huru wananchi tuamue tunachotaka.
Unakwepa kwepa, hata hivyo Ukumbi wa kumpigania jabali la siasa za upinzani mwenyekiti hujautumia hata ukitengenezewa ukumbi wa aina gani inaonekana mapambano yataishia humu humu kwa max.Mbona tayari ukumbi mnauandaa wenyewe, au huna taarifa?
CCM naehani safari hii wana katibu mwenye upungufu labda wa akili au kumbukumbu.Akiongea na waandishi wa habari Leo 11/8/2021 ametoa maelekezo mwenye halmashauri na kisha kukaribisha maswali.
Moja ya swali ilikuwa Katiba mpya.
Muuliza swali amejenga hoja kwa kubalance vizuri sana.
Majibu yake ni Kwamba Katiba mpya ni hitaji la wanasiasa na Si wananchi kwakuwa mabango ya kudai Katiba ni yakutafuta madaraka tu.
Amemhoji umewaona wananchi wakiwa namabango wakidai katiba?
Swali langu,
1. Mwananchi ni yupi?
2. Mwanasiasa ni yupi?
3. Kudai katiba kunahalalisha vipi kuwa huyu ni mwanasiasa?
Wewe ni boya hasa maana huelewi chochote kuhusiana na report ya Jaji Warioba. Akili yako huenda inaishia kwenye kuutambua tu mdomo wako upo wapi.kubali usikubali huo ndiyo ukweli ila hamtaki kuukubali wanasiasa wanataka katiba mpya kwaajili ya kipengele cha tume huru tu ambayo wanayoitumiani wana siasa mwananchi wa kawaida inamhusu nini?
Ata na mm namshangaaSasa kama unakubaliana inakuwaje ulete jukwaani?
Tatizo umekariri uliyokaririshwa unayoidadi kamili ya watu waliotoa maoni juu ya katiba?kwa hiyo yale maoni ya rasim ya jaji warioba yalitolewa na watu wa india?
www.jamiiforums.com
Mimi si mwana siasa wala sitakuwa mwanasiasa.Suala la katiba ni takwa la wananchi siyo la wanasiasa.Kuna mambo mengi tunayashuhudia yanafanyika kutokana na katiba yetu isiyokithi mahitaji ya wakati huu.Tukumbuke katiba iliyopo sasa ni ya mfumo wa chama kimoja.CCM wanaonekana kupinga takwa la katiba mpya kwasababu wanajua waziwazi ikija katiba mpya kuna uwezekano wa kuangushwa katika chaguzi mbalimbali.Maendeleo na katiba vinakwenda pamoja.Leo tunashuhudia viongozi kama miungu watu.Uvunjaji wa haki unaathiri wanasiasa na wasio wanasiasa.Kwanini ccm mnakataa katiba mpya? Kimsingi sisi wananchi tunasemewa na wanasiasa na kama hatukubalini nao inadhihirika katika chaguzi.Lakini kwasasa hatuna chaguzi huru kutokana na haki kuminywa.Sasa nani watusemee wananchi? Wananchi ndiyo tulitoa maoni juu ya haja ya kuwa na katiba mpya kupitia tume ya jaji Warioba.Akiongea na waandishi wa habari Leo 11/8/2021 ametoa maelekezo mwenye halmashauri na kisha kukaribisha maswali.
Moja ya swali ilikuwa Katiba mpya.
Muuliza swali amejenga hoja kwa kubalance vizuri sana.
Majibu yake ni Kwamba Katiba mpya ni hitaji la wanasiasa na Si wananchi kwakuwa mabango ya kudai Katiba ni yakutafuta madaraka tu.
Amemhoji umewaona wananchi wakiwa namabango wakidai katiba?
Swali langu,
1. Mwananchi ni yupi?
2. Mwanasiasa ni yupi?
3. Kudai katiba kunahalalisha vipi kuwa huyu ni mwanasiasa?
Makofi kwako tafadhali [emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1319]Mimi si mwana siasa wala sitakuwa mwanasiasa.Suala la katiba ni takwa la wananchi siyo la wanasiasa.Kuna mambo mengi tunayashuhudia yanafanyika kutokana na katiba yetu isiyokithi mahitaji ya wakati huu.Tukumbuke katiba iliyopo sasa ni ya mfumo wa chama kimoja.CCM wanaonekana kupinga takwa la katiba mpya kwasababu wanajua waziwazi ikija katiba mpya kuna uwezekano wa kuangushwa katika chaguzi mbalimbali.Maendeleo na katiba vinakwenda pamoja.Leo tunashuhudia viongozi kama miungu watu.Uvunjaji wa haki unaathiri wanasiasa na wasio wanasiasa.Kwanini ccm mnakataa katiba mpya? Kimsingi sisi wananchi tunasemewa na wanasiasa na kama hatukubalini nao inadhihirika katika chaguzi.Lakini kwasasa hatuna chaguzi huru kutokana na haki kuminywa.Sasa nani watusemee wananchi? Wananchi ndiyo tulitoa maoni juu ya haja ya kuwa na katiba mpya kupitia tume ya jaji Warioba.
Kwanini tume ya Warioba ilichukua maini ya wananchi wasioelewa wanachodai?Ok,
Ili katiba mpya iwe hitaji la watanzania wote ipo haja ya wanasiasa kujichunguza walikokosea, na kuweka maslahi ya wananchi mbele kabla ya maslahi ya vyama vyao.
Wananchi hawaelewi hata mnachodai, wao wanataka barabara, maji, umeme, shule, ulinzi wao na mali zao... ila wakielewa kwanini mnadai katiba mpya na wakaona watapata faida gani kwayo watawaunga mkono.
Chadema mkiweza kuondoka humu mitandaoni na kwenda kufanya hili mtakuja kunishukuru😃😃
Ila kwa ninavyowajua wapinzani CCM bado wapo sanaaaaa
Bwashee kama upo Dodoma wahi hapo Mirembe ngoja mimi niitishe kikao cha ukoo tuje kukugharamia.Katibu mkuu wa CCM ndugu Chongollo amehoji kama kuna siku wananchi wamewahi kubeba mabango wakidai katiba mpya?!
Kadhalika Chongollo amehoji Tume huru ya uchaguzi inamsaidia nini mwananchi wa kawaida hadi aidai?
Kimsingi katiba mpya ni dai la wanasiasa kwa maslahi yao na siyo hitaji la wananchi kwa sasa a esisitiza Chongollo
Source: Channel ten
My take; Nakubaliana na Katibu u
Wewe kumbe ni mpuuzi!Unakwepa kwepa, hata hivyo Ukumbi wa kumpigania jabali la siasa za upinzani mwenyekiti hujautumia hata ukitengenezewa ukumbi wa aina gani inaonekana mapambano yataishia humu humu kwa max.
Kuna tatizo hapa...kubali usikubali huo ndiyo ukweli ila hamtaki kuukubali wanasiasa wanataka katiba mpya kwaajili ya kipengele cha tume huru tu ambayo wanayoitumiani wana siasa mwananchi wa kawaida inamhusu nini?