Tetesi: CCM wanaoutamani urais 2025 Wakinyimwa kugombea kutimkia upinzani na kujaza fomu za kugombea Urais

Hawa nyumbu tu. Subiri uchaguzi ukifika. Sijawahi sikia mtu kaikimbia CCM akapata mafanikio. Anza na Lowasa, Sumaye, Dkt. Slaa, Dkt. Vincent Mashinji
Usipoteze muda wetu tena kutuletea nyuzi kama hizi
 
Hawa nyumbu tu. Subiri uchaguzi ukifika. Sijawahi sikia mtu kaikimbia CCM akapata mafanikio. Anza na Lowasa, Sumaye, Dkt. Slaa, Dkt. Vincent Mashinji
Usipoteze muda wetu tena kutuletea nyuzi kama hizi
Aliekwambia ni mtu mmoja ni nani?
 
Mambo hayo yanajadilika kwenye Bunge la maalum la Katiba kama watachaguliwa watu sahihi.

Rasimu Ile itabireshwa na hatimaye tutapata KATIBA mpya itakayolivusha Taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…