Tetesi: CCM wanaoutamani urais 2025 Wakinyimwa kugombea kutimkia upinzani na kujaza fomu za kugombea Urais

Tetesi: CCM wanaoutamani urais 2025 Wakinyimwa kugombea kutimkia upinzani na kujaza fomu za kugombea Urais

Kuna wimbi limeanza kujinadi kuchukua fomu ya kugombea Urais kupitia CCM na kundi hilo linakubalika.

Iwapo fomu ya kugombea Urais kupitia CCM itatolewa fomu moja ni wazi kuwa wagombea hao wataamua kuchukua fomu za kugombea urais kupitia upande wa pili.

Wananchi walio wengi wamekumbwa na taharuki ya kupanda kwa maisha kupita kiasi ambapo wanatarajia kufanya mabadiliko ya kiuongozi 2025.

Pia kuna kila dalili wabunge wengi wa ccm kukutana ha upinzani mkubwa ndani na nje ya CCM kwani wameshindwa kutafsiri au kuelezea hali ngumu ya maisha iliyopo majimboni mwao.

Baadhi ya wananchi mfano Jimbo la monduli wananchi wanapata mlo mmoja kwa siku na hakuna msemaji wa ccm amefika kujionea au kuwafariji wananchi hao
Hawa nyumbu tu. Subiri uchaguzi ukifika. Sijawahi sikia mtu kaikimbia CCM akapata mafanikio. Anza na Lowasa, Sumaye, Dkt. Slaa, Dkt. Vincent Mashinji
Usipoteze muda wetu tena kutuletea nyuzi kama hizi
 
Hawa nyumbu tu. Subiri uchaguzi ukifika. Sijawahi sikia mtu kaikimbia CCM akapata mafanikio. Anza na Lowasa, Sumaye, Dkt. Slaa, Dkt. Vincent Mashinji
Usipoteze muda wetu tena kutuletea nyuzi kama hizi
Aliekwambia ni mtu mmoja ni nani?
 
Warioba na timu yake walichoandika ni rasimu ya katiba ya muungano.

Katiba zingine za nchi washirika wa muungano zingeandikwa na nchi husika, japo wapuuzi walishindwa hata kuitaja Tanganyika kwa jina kwenye rasimu yao wakaita Tanzania bara.

Nakuuliza tena, kuna mwananchi mwenye akili timamu atatamani uwakilishi sawa kwa mikoa ya Dar na Pemba kusini kwenye bunge la muungano kama ilivyopendekezwa na hiyo rasimu ya Warioba?

Kama huna jibu pita kimya.
Mambo hayo yanajadilika kwenye Bunge la maalum la Katiba kama watachaguliwa watu sahihi.

Rasimu Ile itabireshwa na hatimaye tutapata KATIBA mpya itakayolivusha Taifa.
 
Back
Top Bottom