Uchaguzi 2020 CCM wanapata wapi pesa za kugharamia wasanii wote wanaowatumia?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Nahisi pesa ni nyingi sana kundi lote kuli- maintain kwa kila kitu. Fedha hizo wanachota wapi?

Ni wazi Kuna ufisadi mkubwa wa fedha za Umma zinatumika visivyo! Time will tell, if not today, tomorrow!
 
Swali La kijinga kuwahi kutokea,
 
Bashiru Ally kwenye kipindi cha dakika 45 ITV alisema hawalipwi wanaimba kwa mapenzi yao kwa CCM tu.
 
Nahisi pesa ni nyingi sana kundi lote kuli- maintain kwa kila kitu. Fedha hizo wanachota wapi?
Ni wazi Kuna ufisadi mkubwa wa fedha za Umma zinatumika visivyo! Time will tell, if not today, tomorrow!
Wasanii wote ni makada wa CCM kama ilivyo Sugu na Prof J ni makamanda hapo Ufipa!
 
Ka unachunga kumbukumbu kuna hela zilipotelea kusikojulikana matrilioni yaliyeyuka katka maesabu ya matumizi ya serikali yaccm.
 
Nahisi pesa ni nyingi sana kundi lote kuli- maintain kwa kila kitu. Fedha hizo wanachota wapi?
Ni wazi Kuna ufisadi mkubwa wa fedha za Umma zinatumika visivyo! Time will tell, if not today, tomorrow!
...inaeleweka hiyo mkuu unagombea uraisi huku bado ni raising
 
Subiri vilio vya wasanii vya kutokulipwa baada ya uchaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…