Uchaguzi 2020 CCM wanapata wapi pesa za kugharamia wasanii wote wanaowatumia?

Nahisi pesa ni nyingi sana kundi lote kuli- maintain kwa kila kitu. Fedha hizo wanachota wapi?

Ni wazi Kuna ufisadi mkubwa wa fedha za Umma zinatumika visivyo! Time will tell, if not today, tomorrow!
1.5trillions iliyomuondoa professor Assad jiwe aliisunda. Kule vote 20 kuna genchi ya madege kiasi cha dola 391Million.Haya majambazi yataendelea kututahiri bila ganzi. Ni kiama
 
Nahisi pesa ni nyingi sana kundi lote kuli- maintain kwa kila kitu. Fedha hizo wanachota wapi?

Ni wazi Kuna ufisadi mkubwa wa fedha za Umma zinatumika visivyo! Time will tell, if not today, tomorrow!

nadhani waulizwe tume au msajili wa vyama ndio anajua mana yeye ndio aansimamaia matumizi ya kwenye uchaguzi
 
Back
Top Bottom