Uchaguzi 2020 CCM wanapata wapi pesa za kugharamia wasanii wote wanaowatumia?

Uchaguzi 2020 CCM wanapata wapi pesa za kugharamia wasanii wote wanaowatumia?

Nahisi pesa ni nyingi sana kundi lote kuli- maintain kwa kila kitu. Fedha hizo wanachota wapi?

Ni wazi Kuna ufisadi mkubwa wa fedha za Umma zinatumika visivyo! Time will tell, if not today, tomorrow!
"Wasanii wote wanajitolea".........alisikika kiongozi mmoja hakisema!!!
 
Bashiru Ally kwenye kipindi cha dakika 45 ITV alisema hawalipwi wanaimba kwa mapenzi yao kwa CCM tu.
ukiona mtu mzima mwenye akili zake timamu eti anayaamini maneno ya bashiru jua kichwani ni kweupe kabisa!
 
usilalie bahat ya mwenzio mlango waz. utaumwa na simba.roho mbaya tu kwan kama ni mtoto wa dada au nan.na ana vigezo vya ajira hio shida ipo wap? roho za husuda na mbaya utaishia kutweet tu hapa
Wewe nenda Facebook huku unakuja kubaka tu hujui chochote
 
hizo pesa CCM wanachota NSSF na ndiyomaana wastaafu wazungushwa mpaka soli za viatu zimeisha.
Mkuu chukua hapo ulipo chukua kreti ya beer nakuja kulipa hawajamaa wamemzungusha mzee Wang toka mwezi wa kumi mwaka Jana wakasema mwezi wa nne pesa inatoka Hadi leo ni mwezi wa kumi mwingne
 
Hapo ujue ccm wameshakwapua fedha sirikalini. Mashangingi yote Yale, masemi plus wasanii wanini wote. Kama miaka 5 iliyopita ccm ilifanya Mambo makubwa na mazuri kwa wananchi Kuna haja gani ya kutumia nguvu kubwaa kwenye kampeni? Picha za mgombea Kila mahali mpaka juu ya Miti. None sense
Halaf mkuu wanakodi magari kupeleka watu kwenye mikutano haya wanatumia magari ya selikali wanabadilisha plate namba wanaweka za binafsi ili tusijue Sasa tulishajua Sasa tuna Jambo LETU mwezi huu tarehe 28
 
1.5 trillions ndio zinatumika.
Ila kaa ukijua kuwa hao wasanii kunawengine watatapeliwa ,CCM ni wezi wa kudumu
Bora Magufuli anakula hela zake na watanzania wengi, ila Mbowe anakula 8.9 billion za mishahara ya wabunge na Joyce tuu huku Lissu akitembeza bakuli.
 
Mjomba wa jiwe ndie kashikilia hazina ya nchi. Mapato ta ATCL ni siri. Mapato ya madini ni siri. Wanajichotea tu kama makande ya misibani huko vijijini.
 
1.5 tilioni unafikiri ilienda wapi
Nahisi pesa ni nyingi sana kundi lote kuli- maintain kwa kila kitu. Fedha hizo wanachota wapi?

Ni wazi Kuna ufisadi mkubwa wa fedha za Umma zinatumika visivyo! Time will tell, if not today, tomorrow!
 
Nahisi pesa ni nyingi sana kundi lote kuli- maintain kwa kila kitu. Fedha hizo wanachota wapi?

Ni wazi Kuna ufisadi mkubwa wa fedha za Umma zinatumika visivyo! Time will tell, if not today, tomorrow!
ccm ni yetu sote, hasa linapokuja swala la pesa wanazotumia! Mimi nimepigwa fine ya barabarani, pia kwenye mafuta, sukari, chumbani nk, tunalipia kampeni za ccm! Na kwa kuwa ni sisi tunawaweka mjini, tuna mamlaka ya kuwaambia SASA BASI!
 
Nahisi pesa ni nyingi sana kundi lote kuli- maintain kwa kila kitu. Fedha hizo wanachota wapi?

Ni wazi Kuna ufisadi mkubwa wa fedha za Umma zinatumika visivyo! Time will tell, if not today, tomorrow!
NSSF. Kilangila.
 
Nahisi pesa ni nyingi sana kundi lote kuli- maintain kwa kila kitu. Fedha hizo wanachota wapi?

Ni wazi Kuna ufisadi mkubwa wa fedha za Umma zinatumika visivyo! Time will tell, if not today, tomorrow!
Wote wanajitolea. Kule chama saccos, fuko lote la pesa anabeba mwenyekiti hana hata cha kutoa yeye ni kukusanya tu. Chama cha Mbowe cha kipuuzi Sana. Kifutwe tu, tuone mabeberu watapenyea wapi!
 
Sijawahi waamini CCM. Wana janja janja sana hawa watu.
Kwamba hata Inspekta Harun anajitolea?....Hii ni ngumu sana kuamini, kumbuka wengine wanaahirisha kazi walizokuwa wakalipwe mahali.

Kuamini hii lazima utaamini pia kuwa Gwajima ana uwezo wa kufufua wafu.
 
Back
Top Bottom