Uchaguzi 2020 CCM wanapata wapi pesa za kugharamia wasanii wote wanaowatumia?

Nahisi pesa ni nyingi sana kundi lote kuli- maintain kwa kila kitu. Fedha hizo wanachota wapi?

Ni wazi Kuna ufisadi mkubwa wa fedha za Umma zinatumika visivyo! Time will tell, if not today, tomorrow!
Ni kodi mnazolipa.
 
nasikia shoo moja na MONDI na madansa wake si chini ya Mil 100... KondeBoy si chini ya 80m

Kweli CCM ni matajiri ndani ya nchi maskini.
 
1.CCM wanatumia magari ya serekali kufanya kampeni.Hizi ni gharama ambazo ziko nje ya ruzuku na ni kinyume na sheria

2.CCM wanatumia maofisa wa serekali kufanya kampeni kama vile waalimu na walinzi ambao wanalipwa mishahara ya serekali.Hizi ni gharama ambazo ziko nje ya ruzuku na ni kinyume na sheria
Kama unaongelea walinzi wa Rais, hapo si kinyume na sheria. Pamoja na kwamba ni mgombea urais, lakini pia hajauvua urais wake hadi atakapomaliza muhula. Ukimnyima ulinzi itakuwa ngumu kufanya hata hizo kampeni. Hata kwa wabobevu wa haya mambo Trump anafanya kampeni akiwa na hao walinzi wanaolipwa na serikali.

Magari na watumishi wengine wa serikali kutumiwa sitaliongelea kwani sina undani wake kama yana ukweli au kama blabla za kisiasa.
 
CCM wana miradi mikubwa kama chama Wana majengo mengi ambayo wanakodisha na kupata pesa, viwanja vya mpira bongo asilimia 80 ni vya CCM, bado Wana wabunge wengi kwa hiyo ruzuku wanapata kubwa, ni chama chenye wanachama wengi ile kulipia kadi bado kunawapa hela nyingi tu. Sasa kama chenu hadi leo kinapanga ofisi mtaona wanachofanya CCM ni maajabu
 
C ni mufilisi wa nchi hii

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
CCM wana miradi mikubwa kama chama Wana majengo mengi ambayo wanakodisha na kupata pesa, viwanja vya mpira bongo asilimia 80 ni vya CCM, bado Wana wabunge wengi kwa hiyo ruzuku wanapata kubwa, ni chama chenye wanachama wengi ile kulipia kadi bado kunawapa hela nyingi tu. Sasa kama chenu hadi leo kinapanga ofisi mtaona wanachofanya CCM ni maajabu
Chadema wajitafakari. TLP hawajawahi kupata hata robo ya ruzuku waliyopata chadema, lakini TLP wana ofisi inayoeleweka. Chadema ruzuku anajilipa Mbowe lakini hakuna mwenye ubavu wa kuhoji.
 
Kama unaongelea walinzi wa Rais, hapo si kinyume na sheria. Pamoja na kwamba ni mgombea urais, lakini pia hajauvua urais wake hadi atakapomaliza muhula. Ukimnyima ulinzi itakuwa ngumu kufanya hata hizo kampeni. Hata kwa wabobevu wa haya mambo Trump anafanya kampeni akiwa na hao walinzi wanaolipwa na serikali.

Magari na watumishi wengine wa serikali kutumiwa sitaliongelea kwani sina undani wake kama yana ukweli au kama blabla za kisiasa.
No!Nazungumzia TISS kuvaa sare za CCM.Kwani TISS ni waajiriwa wa CCM au ni watumishi wa umma?
2452108_20200710_1336082.jpg
2452200_IMG_20200710_150422_555.jpg
 
Hilo la kuvaa nguo za chama kweli sijui kwanini walifanya hivyo, labda wana sababu zao za kiusalama. Lakini kuwepo kwao hapo haina tatizo na ni sehemu ya majukumu yao.
Una uhakika kuwa wakati wa kampeni rais anaewania muhula mwingine anapaswa kulindwa na ulinzi wa umma na wala siyo ulinzi wa chama chake?
 
Nina uhakika 100%. Hao walinzi wa chama ni ziada tu.
 
Iringa kuna vibanda maarufu vya CCM hapo mahari ni moto wa kuotea mbali kwa wapenda mbuzi katoliki.
 
Kama hawalipwi kuna kundi akiwepo Polepole wanapiga pesa ndefu saanaaaa kupitia hawa wasaniiii
 
Back
Top Bottom