Uchaguzi 2020 CCM wanapata wapi pesa za kugharamia wasanii wote wanaowatumia?

Uchaguzi 2020 CCM wanapata wapi pesa za kugharamia wasanii wote wanaowatumia?

Nahisi pesa ni nyingi sana kundi lote kuli- maintain kwa kila kitu. Fedha hizo wanachota wapi?
Ni wazi Kuna ufisadi mkubwa wa fedha za Umma zinatumika visivyo! Time will tell, if not today, tomorrow!
Tuko hapa sasa
IMG-20201005-WA0079.jpg
 
Hata Mbowe asingekula ile bilioni 8 mngekuwa na uwezo kabisa wakuwalipa wasanii
 
ccm chama matapeli.wanalipwa kodi zetu hao wanajitolea wapi
 
Nahisi pesa ni nyingi sana kundi lote kuli- maintain kwa kila kitu. Fedha hizo wanachota wapi?
Ni wazi Kuna ufisadi mkubwa wa fedha za Umma zinatumika visivyo! Time will tell, if not today, tomorrow!
PESA ZA Vitambulisho vya wajasiliamali ndio hii + 1.5Trilion za CAG
Bia yetu njoo ukanushe
 
Hakuna fisadi kama Jiwe!! Watu hawajui tu
Kitendo cha kushindwa kusema 1.5 Trillion zimetumikaje, Kumafukuza CAG kiaina na kunyamazia USD 198 Billion za madini yetu .... Ni dalili tosha kuwa kuna kitu nyuma ya pazia ................!!
 
Kuanzia benk kuu ,hazina TRA zote Wana miliki wao watakosa kuwa na hela?
 
Sasa ndo swali la kuwauliza ccm.wanatoa wapi hela wakati hawana vyanzo vya mapato
Magufuli is a country bumpkin!Anavunja sheria zote za tume ya uchaguzi.Mtu pekee ambae anaweza kufanya hivyo ni mtu mwenye utindio wa ubongo
 
Bashiru Ally kwenye kipindi cha dakika 45 ITV alisema hawalipwi wanaimba kwa mapenzi yao kwa CCM tu.
Kwamba hata Inspekta Harun anajitolea?....Hii ni ngumu sana kuamini, kumbuka wengine wanaahirisha kazi walizokuwa wakalipwe mahali.

Kuamini hii lazima utaamini pia kuwa Gwajima ana uwezo wa kufufua wafu.
 
Back
Top Bottom