Kiwarhoapandenga
JF-Expert Member
- Aug 10, 2019
- 2,078
- 1,805
Aweeeee kwa wema upiMimi sina chama ila ila nadhani wasanii wanaipenda Ccm wanajitolea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aweeeee kwa wema upiMimi sina chama ila ila nadhani wasanii wanaipenda Ccm wanajitolea
Tuko hapa sasaNahisi pesa ni nyingi sana kundi lote kuli- maintain kwa kila kitu. Fedha hizo wanachota wapi?
Ni wazi Kuna ufisadi mkubwa wa fedha za Umma zinatumika visivyo! Time will tell, if not today, tomorrow!
Aisee kwahiyoMimi sina chama ila ila nadhani wasanii wanaipenda Ccm wanajitolea
PESA ZA Vitambulisho vya wajasiliamali ndio hii + 1.5Trilion za CAGNahisi pesa ni nyingi sana kundi lote kuli- maintain kwa kila kitu. Fedha hizo wanachota wapi?
Ni wazi Kuna ufisadi mkubwa wa fedha za Umma zinatumika visivyo! Time will tell, if not today, tomorrow!
Kitendo cha kushindwa kusema 1.5 Trillion zimetumikaje, Kumafukuza CAG kiaina na kunyamazia USD 198 Billion za madini yetu .... Ni dalili tosha kuwa kuna kitu nyuma ya pazia ................!!Hakuna fisadi kama Jiwe!! Watu hawajui tu
Si kweli hata chembeMimi sina chama ila ila nadhani wasanii wanaipenda Ccm wanajitolea
mama katoka wapi tena mbona povu hivo mkuu tatizo niniMuulize mama yako ,kama huna cha kusema ni bora kupiga kimya
Ni sheria ipi inasema kuwa vyama vitumie hela za hazina pamoja na kodi za mtanzania kupigia kampeni mkuu wangu?Kuanzia benk kuu ,hazina TRA zote Wana miliki wao watakosa kuwa na hela?
Ni sheria ipi inasema kuwa vyama vitumie hela za hazina pamoja na kodi za mtanzania kupigia kampeni mkuu wangu?
Magufuli is a country bumpkin!Anavunja sheria zote za tume ya uchaguzi.Mtu pekee ambae anaweza kufanya hivyo ni mtu mwenye utindio wa ubongoSasa ndo swali la kuwauliza ccm.wanatoa wapi hela wakati hawana vyanzo vya mapato
Kwamba hata Inspekta Harun anajitolea?....Hii ni ngumu sana kuamini, kumbuka wengine wanaahirisha kazi walizokuwa wakalipwe mahali.Bashiru Ally kwenye kipindi cha dakika 45 ITV alisema hawalipwi wanaimba kwa mapenzi yao kwa CCM tu.