Tetesi: CCM wanapita vyuoni kuorodhesha UVCCM waliokosa mkopo

Safi tu mbona hata sisi zamani tulikua tunaingia kazini kwa kadi ya TANU.
 
Acheni kulalamika,hii nchi sio yenu pekee yenu.Au kodi mnakusanya kwa makada tu?
 
Mkuu ndugu mtoa mada...mbona hujatoa ushahidi yakinifu...lete video..lete picha...lete hata audio ...na sio kutupa bla bla bla hapa
 
Yaani siiamini hii kitu.Kweli Watanzania tumefika hapa,unbelievable.
 
Kwa Tanzania siwezi kushangaa kuwa njama mbovu kama hizi zipo. Hakuna lisilowezekana hapa kwetu. Kila jambo zuri wanawaza kufanya siasa maji taka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…