Uchaguzi 2020 CCM wanapotosha. Haiwezekani kuwa 70 % ya Wapiga kura ni Wana CCM

The Khoisan

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2007
Posts
16,434
Reaction score
14,547
Nimemsikia Polepole Leo akidai kuwa CCM ina wanachama 16 million. Assuming kuwa mwanachama ni lazima awe na umri wa miaka 18 hivyo inamaanisha kuwa kwa idadi hiyo CCM ina 70 % ya Wapiga kura wote kwa Tanzania. Kwa vile anadai kuwa Kila wanachama 3 watarecruit mtu moja hivyo kuwa na wapiga kura wa zaidi ya 5 million wa ziada. Kwa madai hayo ina maana watakuwa na wapiga kura 21 million Kati ya 23 million wakiojiandikisha.

Je, huu ndiyo Mpango wa CCM kujustify ushindi wa kishindo na wanatuandaa kisaikolojia kwa Mpango wao wakati on the ground watu tunaona tofauti?

Binafsi Nikiangalia kwenye Familia, marafikiki na watu walionizunguka sioni hao wanachama wa CCM kwa number hizo wanazodai CCM.

Wadau naomba maoni yenu kuhusu anachokisena Polepole.
 
Nimemsikia Polepole Leo akidai kuwa CCM ina wanachama 16 million. Assuming kuwa mwanachama ni lazima awe na umri wa miaka 18 hivyo inamaanisha kuwa kwa idadi hiyo CCM ina 70 % ya Wapiga kura wote kwa Tanzania. Kwa vile anadai kuwa Kila wanachama 3 watarecruit mtu moja hivyo kuwa na wapiga kura wa zaidi ya 5 million wa ziada. Kwa madai hayo ina maana watakuwa na wapiga kura 21 million Kati ya 23 million wakiojiandikisha. Je huu ndiyo Mpango wa CCM kujustify ushindi wa kishindo na wanatuandaa kisaikolojia kwa Mpango wao wakati on the ground watu tunaona tofauti?

Binafsi Niki Angalia kwenye Familia, marafikiki na watu walionizunguka sioni hao wanachama wa CCM kwa number hizo wanazodai CCM.

Wanategemea kuingiza masanduku ya kura feki, mwaka huu watabaki nayo Lumumba
 
Nimemsikia Polepole Leo akidai kuwa CCM ina wanachama 16 million. Assuming kuwa mwanachama ni lazima awe na umri wa miaka 18 hivyo inamaanisha kuwa kwa idadi hiyo CCM ina 70 % ya Wapiga kura wote kwa Tanzania. Kwa vile anadai kuwa Kila wanachama 3 watarecruit mtu moja hivyo kuwa na wapiga kura wa zaidi ya 5 million wa ziada. Kwa madai hayo ina maana watakuwa na wapiga kura 21 million Kati ya 23 million wakiojiandikisha. Je huu ndiyo Mpango wa CCM kujustify ushindi wa kishindo na wanatuandaa kisaikolojia kwa Mpango wao wakati on the ground watu tunaona tofauti?

Binafsi Niki Angalia kwenye Familia, marafikiki na watu walionizunguka sioni hao wanachama wa CCM kwa number hizo wanazodai CCM.

Wadau naomba maoni yenu kuhusu anachokisena Polepole.
70% ya wanachama wa ccm hawatampigia kura Magufuli .
 
Nimemsikia Polepole Leo akidai kuwa CCM ina wanachama 16 million. Assuming kuwa mwanachama ni lazima awe na umri wa miaka 18 hivyo inamaanisha kuwa kwa idadi hiyo CCM ina 70 % ya Wapiga kura wote kwa Tanzania. Kwa vile anadai kuwa Kila wanachama 3 watarecruit mtu moja hivyo kuwa na wapiga kura wa zaidi ya 5 million wa ziada. Kwa madai hayo ina maana watakuwa na wapiga kura 21 million Kati ya 23 million wakiojiandikisha.

Je, huu ndiyo Mpango wa CCM kujustify ushindi wa kishindo na wanatuandaa kisaikolojia kwa Mpango wao wakati on the ground watu tunaona tofauti?

Binafsi Nikiangalia kwenye Familia, marafikiki na watu walionizunguka sioni hao wanachama wa CCM kwa number hizo wanazodai CCM.

Wadau naomba maoni yenu kuhusu anachokisena Polepole.
Alikuwa anajiuma uma sana, guilty conscious, anarudia rudi. Na hii wameisema sana! Na wasi wasi sana hawa maRais wanaokuja wakati wa uchaguzi hatari sana. Kama yule Museveni, na yule wa Burundi.
 
Zaidi ya nusu ya wanaccm watampigia kura Lissu. CCM mpya imechokwa sana

Pamoja na zile kura za wajumbe na makada wa ccm waliokatwa ktk kura za maoni...

Bila kusaha wale wenye kadi za chama lkn walitumbuliwa kwa vyeti feki, waliobomolewa nyumba zao, waliodhurumiwa korosho zao, wale walioitwa vilaza, wafanyabiasaha waliopewa kesi feki...
 
Nimemsikia Polepole Leo akidai kuwa CCM ina wanachama 16 million. Assuming kuwa mwanachama ni lazima awe na umri wa miaka 18 hivyo inamaanisha kuwa kwa idadi hiyo CCM ina 70 % ya Wapiga kura wote kwa Tanzania. Kwa vile anadai kuwa Kila wanachama 3 watarecruit mtu moja hivyo kuwa na wapiga kura wa zaidi ya 5 million wa ziada. Kwa madai hayo ina maana watakuwa na wapiga kura 21 million Kati ya 23 million wakiojiandikisha.

Je, huu ndiyo Mpango wa CCM kujustify ushindi wa kishindo na wanatuandaa kisaikolojia kwa Mpango wao wakati on the ground watu tunaona tofauti?

Binafsi Nikiangalia kwenye Familia, marafikiki na watu walionizunguka sioni hao wanachama wa CCM kwa number hizo wanazodai CCM.

Wadau naomba maoni yenu kuhusu anachokisena Polepole.

Wanatakiwa kuelewa kua mwanachama wako hana mkataba na wewe kuhusu uamuzi wake wa kupiga kura. Uanachama unabaki kua uanachama na maamuzi ya nani ampigie kura anabakinayo mru mwenyewe, haviingiliani
 
Back
Top Bottom