Uchaguzi 2020 CCM wanapotosha. Haiwezekani kuwa 70 % ya Wapiga kura ni Wana CCM

Zaidi ya nusu ya wanaccm watampigia kura Lissu. CCM mpya imechokwa sana
Hii iweke sawa kwamba ni zaidi ya nusu ya wanaccm waliokua mafisadi wakakatiwa mirija

Na hao ni idadi ndogo mnoo ndani ya ccm hata CCM inajua hawana madhara kama ambavyo Lowasa hakuwa na madhara
 
Tegemeo lao kubwa ni dola, uzuri dola awajaongezewa mishahara 5 yrs hapa wamelikoroga nayo inataka mabadiliko. This time hata watumie euro au paund imekula kwao
 
Ukiwa mwana siasa lazima uwe muongo , inabidi CdM mjipange kuzuia masanduku feki ya kura yasihesabiwe au tuyachome Moto kabla hayajaleta asali
 
Mwaka huu wapinzani wamepata mgombea mpinzani halisi Tena mwenye damu toka Kenya, NEC watende haki hao wanaowategemea Wana hasira nao sababu wamewazulumu nyongeza za mishahara tunaishi nao mtaani wasidanganywe na mabosi zao ambao ni wanufaika. Hivyo wasichezee fyuzi.
Kura zihesabiwe live kwa haki.
Piga kura Linda kura.
 
Nimemsikia Polepole Leo akidai kuwa CCM ina wanachama 16 million. Assuming kuwa mwanachama ni lazima awe na umri wa miaka 18 hivyo inamaanisha kuwa kwa idadi hiyo CCM ina 70 % ya Wapiga kura wote kwa Tanzania. Kwa vile anadai kuwa Kila wanachama 3 watarecruit mtu moja hivyo kuwa na wapiga kura wa zaidi ya 5 million wa ziada. Kwa madai hayo ina maana watakuwa na wapiga kura 21 million Kati ya 23 million wakiojiandikisha.

Je, huu ndiyo Mpango wa CCM kujustify ushindi wa kishindo na wanatuandaa kisaikolojia kwa Mpango wao wakati on the ground watu tunaona tofauti?

Binafsi Nikiangalia kwenye Familia, marafikiki na watu walionizunguka sioni hao wanachama wa CCM kwa number hizo wanazodai CCM.

Wadau naomba maoni yenu kuhusu anachokisena Polepole.
CCM uwezo wao wa kufikiri umeisha(gota) 'We can no longer solve our problems with the same level of thinking that created them.”
 
Heri kupigwa mabomu utanawa yataisha kuliko kupigwa njaa ya miaka 5
 
Nimemsikia Polepole Leo akidai kuwa CCM ina wanachama 16 million. Assuming kuwa mwanachama ni lazima awe na umri wa miaka 18 hivyo inamaanisha kuwa kwa idadi hiyo CCM ina 70 % ya Wapiga kura wote kwa Tanzania. Kwa vile anadai kuwa Kila wanachama 3 watarecruit mtu moja hivyo kuwa na wapiga kura wa zaidi ya 5 million wa ziada. Kwa madai hayo ina maana watakuwa na wapiga kura 21 million Kati ya 23 million wakiojiandikisha.

Je, huu ndiyo Mpango wa CCM kujustify ushindi wa kishindo na wanatuandaa kisaikolojia kwa Mpango wao wakati on the ground watu tunaona tofauti?

Binafsi Nikiangalia kwenye Familia, marafikiki na watu walionizunguka sioni hao wanachama wa CCM kwa number hizo wanazodai CCM.

Wadau naomba maoni yenu kuhusu anachokisena Polepole.
Wanachama wa ccm hawafiki milioni 2
 
Baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa kutowaridhisha bavicha na ile hali ya kutoamini kuwa lissu angepewa nafasi ya kugombea urais chadema badala ya Nyalandu.

Chadema na baraza lao la vichaa waliendesha kampeni kubwa sana ya kususia kupiga kura 2020 wakianza na kutoboresha taarifa zao katika daftari la mpiga kura hivyo wengi na karibu wote hawajajiandikisha kwenye daftari so wenye akili wakikwambia asilimia 70 ya wapiga kura ni wana ccm tusitumie nguvu nyingi kupinga mitandaoni kwa kuwa kisayansi huu ndo uhalisia.

Chadema mwaka huu maamuzi yenu ya kukurupuka yanaenda kuwatokea puani na kuwadhalilisha. Mtakula mlikopeleka mboga
 
CCM uwezo wao wa kufukiri umeisha(gota) 'We can no longer solve our problems with the same level of thinking that created them.”
Angalau mzee wa lupaso alitumia both nguvu na akili waliopo hamna mwenye akili ya kusolve zaidi ya nguvu,Wakitumia nguvu wamekwisha, Wakitumia nguvu wamemeza mtego
 
Waache kutudaganya. 2015 waliambulia kura 8 million. Kwa miaka 5 wanataka kudai wapiga kura wao wameongezeka...
Sio wanachama wote wanaopiga kura. Lakini pia kuna wanachama wengi mfu.

Mtu anakuwa na kadi ya CCM tangu mwaka 2000 na hajalipia hata shilingi mia moja ila Polepole bado anawainclude hao kwenye hesabu zake

Haya pia ni maandalizi ya wizi ili pale wakiwaambia Magufuli kazoa kura 11,000,000 mjue zilipotoka
 
Hata mimi ni mwanachama wa CCM na kadi ninayo ila toka 2015 sijawai ipigia CCM kura na mpaka nakufa sitokuja kuipigia ccm kura.

Hii maana yake ni kweli ccm inawanachama wengi ila wapo kinafiki. Kkwa mfano kuna walioaminishwa kupata kazi, mkopo, na fursa nyingine za kiserikal ni lazma uwe na kadi ya CCM. So tupo wengi makadi tunayyo ila hayana maana
 
Nimemsikia Polepole Leo akidai kuwa CCM ina wanachama 16 million. Assuming kuwa mwanachama ni lazima awe na umri wa miaka 18 hivyo inamaanisha kuwa kwa idadi hiyo CCM ina 70 % ya Wapiga kura wote kwa Tanzania. Kwa vile anadai kuwa Kila wanachama 3 watarecruit mtu moja hivyo kuwa na wapiga kura wa zaidi ya 5 million wa ziada. Kwa madai hayo ina maana watakuwa na wapiga kura 21 million Kati ya 23 million wakiojiandikisha.

Je, huu ndiyo Mpango wa CCM kujustify ushindi wa kishindo na wanatuandaa kisaikolojia kwa Mpango wao wakati on the ground watu tunaona tofauti?

Binafsi Nikiangalia kwenye Familia, marafikiki na watu walionizunguka sioni hao wanachama wa CCM kwa number hizo wanazodai CCM.

Wadau naomba maoni yenu kuhusu anachokisena Polepole.
Polepole yupo sawa, Chadema imepoteza umaarufu,na sisi wenye machungu na chama tumechukia.
 
Nimemsikia Polepole Leo akidai kuwa CCM ina wanachama 16 million. Assuming kuwa mwanachama ni lazima awe na umri wa miaka 18 hivyo inamaanisha kuwa kwa idadi hiyo CCM ina 70 % ya Wapiga kura wote kwa Tanzania. Kwa vile anadai kuwa Kila wanachama 3 watarecruit mtu moja hivyo kuwa na wapiga kura wa zaidi ya 5 million wa ziada. Kwa madai hayo ina maana watakuwa na wapiga kura 21 million Kati ya 23 million wakiojiandikisha.

Je, huu ndiyo Mpango wa CCM kujustify ushindi wa kishindo na wanatuandaa kisaikolojia kwa Mpango wao wakati on the ground watu tunaona tofauti?

Binafsi Nikiangalia kwenye Familia, marafikiki na watu walionizunguka sioni hao wanachama wa CCM kwa number hizo wanazodai CCM.

Wadau naomba maoni yenu kuhusu anachokisena Polepole.
Ccm wanatapatapa.. hakuna ukweli hapo
 
Back
Top Bottom