Whiteman confusing
JF-Expert Member
- Sep 12, 2020
- 328
- 279
Mkuu huyo jamaa asikutishe na hiyo statistical dataNimemsikia Polepole Leo akidai kuwa CCM ina wanachama 16 million. Assuming kuwa mwanachama ni lazima awe na umri wa miaka 18 hivyo inamaanisha kuwa kwa idadi hiyo CCM ina 70 % ya Wapiga kura wote kwa Tanzania. Kwa vile anadai kuwa Kila wanachama 3 watarecruit mtu moja hivyo kuwa na wapiga kura wa zaidi ya 5 million wa ziada. Kwa madai hayo ina maana watakuwa na wapiga kura 21 million Kati ya 23 million wakiojiandikisha.
Je, huu ndiyo Mpango wa CCM kujustify ushindi wa kishindo na wanatuandaa kisaikolojia kwa Mpango wao wakati on the ground watu tunaona tofauti?
Binafsi Nikiangalia kwenye Familia, marafikiki na watu walionizunguka sioni hao wanachama wa CCM kwa number hizo wanazodai CCM.
Wadau naomba maoni yenu kuhusu anachokisena Polepole.
Kwanza unachotakiwa kujua kwa humphrey polepole ubongo wake aina afya yakutosha kuzungumzi vitu vikubwa vya nchi hii
Kimsingi kwa sasa hicho chama maguful na polepole wanatapatapa kama wafa maji, inshort this term watakufa kifo cha mande