The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,900
- 18,751
Wanategemea kuingiza masanduku ya kura feki, mwaka huu watabaki nayo LumumbaNimemsikia Polepole Leo akidai kuwa CCM ina wanachama 16 million. Assuming kuwa mwanachama ni lazima awe na umri wa miaka 18 hivyo inamaanisha kuwa kwa idadi hiyo CCM ina 70 % ya Wapiga kura wote kwa Tanzania. Kwa vile anadai kuwa Kila wanachama 3 watarecruit mtu moja hivyo kuwa na wapiga kura wa zaidi ya 5 million wa ziada. Kwa madai hayo ina maana watakuwa na wapiga kura 21 million Kati ya 23 million wakiojiandikisha. Je huu ndiyo Mpango wa CCM kujustify ushindi wa kishindo na wanatuandaa kisaikolojia kwa Mpango wao wakati on the ground watu tunaona tofauti?
Binafsi Niki Angalia kwenye Familia, marafikiki na watu walionizunguka sioni hao wanachama wa CCM kwa number hizo wanazodai CCM.
Wadau naomba maoni yenu kuhusu anachokisena Polepole.
70% ya wanachama wa ccm hawatampigia kura Magufuli .Nimemsikia Polepole Leo akidai kuwa CCM ina wanachama 16 million. Assuming kuwa mwanachama ni lazima awe na umri wa miaka 18 hivyo inamaanisha kuwa kwa idadi hiyo CCM ina 70 % ya Wapiga kura wote kwa Tanzania. Kwa vile anadai kuwa Kila wanachama 3 watarecruit mtu moja hivyo kuwa na wapiga kura wa zaidi ya 5 million wa ziada. Kwa madai hayo ina maana watakuwa na wapiga kura 21 million Kati ya 23 million wakiojiandikisha. Je huu ndiyo Mpango wa CCM kujustify ushindi wa kishindo na wanatuandaa kisaikolojia kwa Mpango wao wakati on the ground watu tunaona tofauti?
Binafsi Niki Angalia kwenye Familia, marafikiki na watu walionizunguka sioni hao wanachama wa CCM kwa number hizo wanazodai CCM.
Wadau naomba maoni yenu kuhusu anachokisena Polepole.
Waache kutudaganya. 2015 waliambulia kura 8 million. Kwa miaka 5 wanataka kudai wapiga kura wao wameongezeka zaidi ya mara 3. Hawa Jamaa wana mipingo mibaya kwa nchi.70% ya wanachama wa ccm hawatampigia kura Magufuli .
Nilielewa hivyo hivyo, hsiwwzekani wawe na spesfic figures ni kura walizoziandaa ambazo ni haramu.Wanatuandaa kisaikolojia kwa wizi mkubwa wa kura ambao haujawahi kutokea Afrika nzima!
Tupo tayari kabisa kupambana nao. SASA BASIWanatuandaa kisaikolojia kwa wizi mkubwa wa kura ambao haujawahi kutokea Afrika nzima!
Alikuwa anajiuma uma sana, guilty conscious, anarudia rudi. Na hii wameisema sana! Na wasi wasi sana hawa maRais wanaokuja wakati wa uchaguzi hatari sana. Kama yule Museveni, na yule wa Burundi.Nimemsikia Polepole Leo akidai kuwa CCM ina wanachama 16 million. Assuming kuwa mwanachama ni lazima awe na umri wa miaka 18 hivyo inamaanisha kuwa kwa idadi hiyo CCM ina 70 % ya Wapiga kura wote kwa Tanzania. Kwa vile anadai kuwa Kila wanachama 3 watarecruit mtu moja hivyo kuwa na wapiga kura wa zaidi ya 5 million wa ziada. Kwa madai hayo ina maana watakuwa na wapiga kura 21 million Kati ya 23 million wakiojiandikisha.
Je, huu ndiyo Mpango wa CCM kujustify ushindi wa kishindo na wanatuandaa kisaikolojia kwa Mpango wao wakati on the ground watu tunaona tofauti?
Binafsi Nikiangalia kwenye Familia, marafikiki na watu walionizunguka sioni hao wanachama wa CCM kwa number hizo wanazodai CCM.
Wadau naomba maoni yenu kuhusu anachokisena Polepole.
100% hata mimiNilielewa hivyo hivyo, hsiwwzekani wawe na spesfic figures ni kura walizoziandaa ambazo ni haramu.
Zaidi ya nusu ya wanaccm watampigia kura Lissu. CCM mpya imechokwa sana
Hata wazee sasa wamesanda snWanachama wa ccm Ni wazee na wanufaika, wazee idadi yao imepungua Sana na wanufaika ni wachache, kundi kubwa la vijana ni against ccm kwa sababu si wanufaika. Sasa hao wanachama 16m wa wapi
Tumeona vijijini,ccm wanadhana kuwawekea tbc pekee ndo wataweza mind control,mind control aliweza Nyerere pekee zamani, hata Sasa asingeweza control akili za watu. Wanajidanganya eti Lisu ajulikani vijijini sasa Kama trump tu anajulikana vijijini sembuse Lisu.Hata wazee sasa wamesanda sn
Nimemsikia Polepole Leo akidai kuwa CCM ina wanachama 16 million. Assuming kuwa mwanachama ni lazima awe na umri wa miaka 18 hivyo inamaanisha kuwa kwa idadi hiyo CCM ina 70 % ya Wapiga kura wote kwa Tanzania. Kwa vile anadai kuwa Kila wanachama 3 watarecruit mtu moja hivyo kuwa na wapiga kura wa zaidi ya 5 million wa ziada. Kwa madai hayo ina maana watakuwa na wapiga kura 21 million Kati ya 23 million wakiojiandikisha.
Je, huu ndiyo Mpango wa CCM kujustify ushindi wa kishindo na wanatuandaa kisaikolojia kwa Mpango wao wakati on the ground watu tunaona tofauti?
Binafsi Nikiangalia kwenye Familia, marafikiki na watu walionizunguka sioni hao wanachama wa CCM kwa number hizo wanazodai CCM.
Wadau naomba maoni yenu kuhusu anachokisena Polepole.