Uchaguzi 2020 CCM wanapotosha. Haiwezekani kuwa 70 % ya Wapiga kura ni Wana CCM

They want to justify their robbery action. They are bandits.
 
Kuna mambo hayahitaji utafiti. Ni common sense.
Kwa mujibu wa Tafiti iliyofanywa na NCCR-MAGEUZI uwingi katika mikutano ya siasa hauna tija kwakua Kati ya wahudhuriaji 10 ni wa 4 tu ndio waliojiandikisha kupiga kura.

Kama ndivyo naona kama CCM Wana Mantiki katika hoja hiyo kwakua wanachama ndio wapigaji wakubwa wakura...
 
Uhuru up unaoutaka ww? Hak ip ambayo inakunyima kufanya kaz? Maendeleo ni ww mwenyewe jukumu la serikali ni kukutengenezea miundombinu kama barabara, maji, Afya nzur, uhakika wa usafili wa anga,majini reli nk
WaTz tunachotaka ni Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu. Tunastahili kupata maendeleo ya kweli.
Ni haki yetu ya msingi kama Wananchi, kupanga tunachokitaka kwa namna tunavyohitaji ili kuimarisha usitawi wetu na taifa letu.
Sasa hivi uhuru wa wananchi na vyama vyao kwa mujibu wa Katiba hii hii ya sasa vinasiginwa, bila ya aibu.
Hata wakoloni walitengenezea miundombinu kama barabara, maji, Afya, usafili wa anga,majini reli, lakini nao walitukandamiza kama mfanyavyo.
 
Nina kadi ya CCM mwaka wa 5 huu ila sijawahi kuwa kwenye hiyo idadi ya wapiga kura wao kwa kigezo cha kadi walizotuhonga mtaani.
Ni mjinga tu ndio anayeweza kuamini kuwa kila mwanachama ataipigia CCM kura.
 
Huo utafiti haumake sense.

Waliojiandikisha ni million 23. Kama wanaohudhuria ni kwa uiano huo then Ina maana wasiojiandijisha ni zaidi ya million 100. Again it doesn't make sense.
 
Ungekuwa unataja haki naUhuru unaonyimwa ww in feel weeks zaid,Fanya kaz siasa wachie wenyewe wacha kupoteza mda kulalamika mitandaoni,kama huoni vitu vinavyofanywa na serkali utakuwa n matatzo kwenye ubongo
 
Vyumba vya kupigia kura vikagueni vizuri, utakuta hata masanduku yamefichwa juu ya dari, kila kitu kihesabiwe mbele ya watu matokeo yaandikwe mbele ya watu ndiyo waondoke la si hivyo hawa wajinga wataiba kura mtashangaa sana. Wamejipanga vizuri sana
 
Eti Lissu ataenda jela, na nyinyi wauaji mtakwenda wapi?
 
Kwani mwanachama anakuwa na kitovu usoni ili umtambue.
 
Amesahau katika hao million 22, Bernard Membe (Jasusi mbobezi) juzi kaondoka na million 21.
 
sasa cha kushangza nn apo, nkupe mfano easy to ufanye mahesabu ya harakaharak!
magufuli ana followers mil 1 twitter. lissu ana followers 150K. sasa mpaka apo haraka haraka unajua ccm wamewazidi chadema mara ngap, ukifanya na statistics za mtaani pia unaweza kujua kama kaongea pumba ama yuko sahihi
 
Janja yao ishajulikana kuingiza vituo hewa na wapiga kura feki.....Sasa mwaka huu hakuna huo upuuzi....Tunaweka mawakala kwenye vituo halali tu...Matokeo ya kwenye vituo feki hayatoingizwa kwenye tally ya chadema...Matokeo yanayojumlishwa ni yale ambayo mawkala wetu wameyakubali na kusaini vituo ambavyo mawakala hawataopewa kitanuka mpaka watangaze matokea halisi....Mwaka huu CCM inaondoka iwe kwa heri au kwa shari.....This year no more drama!!
 
Ccm ya watanzania ilishia zake wakati Nyerere akiwa hai.
 
Huyo haraka haraka alikwisha changanyikiwa siku hizi hatumskilizi tena si ndiyo aliyesema kwamba hata bila kampeni CCM inashinda matokeo yake sasa hivi wanapiga magoti hadi wanalala chini kuomba kura.
 
Hesabu ya Pole pole siyo ya kweli. Mfano wengi wa wana CCM waliojiandikisha inawezekana hawataipigia kura CCM, Pili watakaoenda kupiga kura ni kama asilimia 40, tatu kuna watu ambao kwa sababu au nyingine hawapo duniani, wamepoteza kadi zao n.k. Hivyo hesabu ya Ndugu yetu Polepole haina takwimu ya kumwaminisha mtu yeyote.
 
CCM wamechanganyikiwa hizo Takwimu za kupikwa na polepole hazina maana kwani idadi kubwa ya wanaojiita ccm mioyoni mwao wapo upinzani, wamebakia kujiita ccm Usomi kulinda mali zao wasije kufanyiziwa unyama, idadi kubwa ya wanaccm wanataka mageuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…