Emanueli misalaba
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 2,975
- 4,082
Hii hadi hapa sidhani km ni attention kwa jamii,Majina ya wagombea wa Ubunge wa Majimbo, Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi, Viti Maalum vya Ubunge na Baraza la Wawakilishi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) yanatarajiwa kutangazwa leo baada ya kikao cha Kamati Kuu ya chama hicho kilichomalizika usiku wa kuamkia leo.
Kwa mujibu wa mwandishi wa Ufm Radio Joyce Mwakalinga aliyepo Dodoma majina hayo yatatangazwa kwenye mkutano wa waandishi wa habari utakaofanyika kuanzia saa sita mchana.
UJINGA tu mnawasumbua waandishi wa habariMajina ya wagombea wa Ubunge wa Majimbo, Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi, Viti Maalum vya Ubunge na Baraza la Wawakilishi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) yanatarajiwa kutangazwa leo baada ya kikao cha Kamati Kuu ya chama hicho kilichomalizika usiku wa kuamkia leo.
Kwa mujibu wa mwandishi wa Ufm Radio Joyce Mwakalinga aliyepo Dodoma majina hayo yatatangazwa kwenye mkutano wa waandishi wa habari utakaofanyika kuanzia saa sita mchana.
MakambaNi lazima aingie kwenye mchujo?..2020 magu aliingia na nani kwenye mchujo?.. jakaya 2010 aliingia na nani?.. mkapa 2000 aliingia na nani?
SAA 10 JIONI.Majina ya wagombea wa Ubunge wa Majimbo, Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi, Viti Maalum vya Ubunge na Baraza la Wawakilishi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) yanatarajiwa kutangazwa leo baada ya kikao cha Kamati Kuu ya chama hicho kilichomalizika usiku wa kuamkia leo.
Kwa mujibu wa mwandishi wa Ufm Radio Joyce Mwakalinga aliyepo Dodoma majina hayo yatatangazwa kwenye mkutano wa waandishi wa habari utakaofanyika kuanzia saa sita mchana.
OkayTUPENI POLE WATANZANIA KAZI TUMEMALIZA MDA SIYO MREFU,TUMEFYEKA KWELI KWELIKWELI,
Mshana Jr
Erythrocyte
View attachment 3422630
We zwazwa kweli kweli. Kwani huyo asiyejulikana ana nini zaidi ya uchawa?asipo kuwepo Makonda tunakatika rufaa.
WEWEWe zwazwa kweli kweli. Kwani huyo asiyejulikana ana nini zaidi ya uchawa?