CCM wanawekana sawa kwa kuparurana, ninyi je mnajipangaje?

Upinzani wa Tanzania una kasoro moja, haupendi kukosorewa hata kama una makosa wanayafanya, akitokea mtu akakosoa ataitwa msaliti...
Mmekuwa huru bungeni baada ya kifo cha magufuli la sivyo hadi 2025 mngeendelea na unafiki wenu, mshukuruni Mungu!
 
Mipasuko mikubwa CCM.
1. Team SASHA VS Team Mwendazake a.k.a Sukuma Gang
2. Darasa la Saba vs Wasomi.
Sema "kimeumanaaaaa"
Katika hayo makundi mawili nyie bavicha mko kundi lipi?
 
Yaani mkawekane sawa Bungeni ili kunenga chama!
Nawe unashabikia hilo?

Vikao mbalimbali vya chama vina kazi gani?
 
Tatizo la upinzani Tanzania hauna Maono. Huo ndiyo ukweli wacha washangilie kifo cha Rais wakati wenzao wanajiimarishe kwa kukosoana. Hawatachukua nchi wapinzani ni wapigaji km wapigaji wengine njaa kali ref. Covid 19
 
Hivi wewe ndiyo umeingia Tanzania jana nini? Nani kakudanganya kuwa tanzania kuna upinzani?

Upinzani ulishakufa mara tu baada ya jiwe kuingia madarakani ndiyo alivyotuambia sisi wana ccm na tukafurahia kwa upunzani kufa.
 
Tuliomba Sana na kufunga Ili Mungu awaaaibishe wale wote watakaovuruga uchaguzi mkuu 2020 Mungu kasikia kilio chetu hakika ametenda , bashiru, polepole si kitu si lolote tena juu ya uso wa nchi na hawana tena ushawishi tena.
Bashiru ameshuhudia kina msukuma na kibajaj wanavyo idharau PhD yake pale mjengoni .

Atakuwa analia sana kimoyo moyo maana kama jiwe angekuwepo leo hii Bashiru angekuwa yupo ikulu anapasua vidali tu.
 
Mipasuko mikubwa CCM.
1. Team SASHA VS Team Mwendazake a.k.a Sukuma Gang
2. Darasa la Saba vs Wasomi.
Sema "kimeumanaaaaa"
Kwahiyo Dr Bashiru naye kanyamaza kimya pamoja na dhihaka kutoka kwa kina kibajaji na msukuma?
 
Mtajaza ninyi. Sisi ndo tunakijenga chama chetu kwa njia hiyo
Masikini Dr Bashiru hakika analipwa kwa madhambi aliyo yafanya dhidi ya watanzania kwenye uchaguzi.

Kweli Mungu yupo siku zote na huwa analipa cash kwa muovu.
Bashiru leo hii u Dr wake unahojiwa na kibajaj?
 
Wacha bange za chato wewe, Mdee na covid wenzake ni wabunge wa ccm na Ndugaye
 
Haya ndiyo mambo ambayo mleta mada kazungumza, nyinyi watu wepesi sana kuwanyooshea vidole wengine, mkiguswa nyie na majibu ya kejeli na vitu kama hivyo. Wewe hujui viongozi wako inabidi wafanye nini kuhusu hili jambo?
Corona inaua sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…