Mnyanyembe wa Mboka
JF-Expert Member
- Feb 10, 2017
- 2,349
- 3,046
Kwani we ulitaka wafanyejeMfano hili suala la akina Mzee Mdee, wanaendelea kuingia bungeni kwa kutumia jina la CHADEMA na kukichafua chama, ni usaliti na dharau za mchana kweupe! Lakini viongozi Wa CHADEMA wapo kimyaa, Wao busy kupambana na mtu aliyekufa. Sometimes mtu unajiuliza Hawa wapinzani tz wapo serious kweli?
Ulipokuwa unamtukuza na kumlinganisha na yesu na mtume ulidhani unamficha nani?Sijawahi teteleka wala kulialia nipo imara muda wote sababu sijawahi mtegemea mwana siasa
Mnaanza kumkana hata kabla jogoo hajawika ?Sijawahi teteleka wala kulialia nipo imara muda wote sababu sijawahi mtegemea mwana siasa
Mkuu sisi tunasubiri maelekezo kutoka kwa wazungu. Ahahahaaaaa.Upinzani wa Tanzania una kasoro moja, haupendi kukosorewa hata kama una makosa wanayafanya, akitokea mtu akakosoa ataitwa msaliti..
Maigizo yapi hayo?au ya kudharau corona kama alivyofanya MTUKUFU MALAIKA?
Bado mahela na tume yakeTayari woote washachapwa
Nina imani kubwa na uongozi wangu na wako sahihi kwa maamuzi yoyote wanaochukua na kusema kweli sina mashaka naoHaya ndiyo mambo ambayo mleta mada kazungumza, nyinyi watu wepesi sana kuwanyooshea vidole wengine, mkiguswa nyie na majibu ya kejeli na vitu kama hivyo. Wewe hujui viongozi wako inabidi wafanye nini kuhusu hili jambo?
Naye siku zake zinahesabika tu maana mshahara wa dhambi unajulikanaBado mahela na tume yake
Jibu jepesi kwa jambo gumu, upuuzi kama huu ndio ulisababisha Lipumba akaiua CUFWacha bange za chato wewe, Mdee na covid wenzake ni wabunge wa ccm na Ndugaye
Baada ya kununuliwa na jiwe akidhani ndiyo anauua upinzani kumbe alikuwa kaingizwa chaka.Jibu jepesi kwa jambo gumu, upuuzi kama huu ndio ulisababisha Lipumba akaiua CUF
Walijisahau na kulewa sifa za wachumia tumbo kina kessy na Mwanry kwa kumuita mtumeChama kilifikia pabaya Sana aisee kilikuwa ni mali binafsi ya mwanakwenda zake alimpa amtake akatupora haki ya kuwachagua tuwatakao.Akaweka machaguo yake Ili waje kumsaidia kubadili katiba atawale milele lkn mipango ya mwanadamu sio mipango ya Mungu.
Sasa hivi mataga mnadharaulika kila kona ya nchi.Jibu jepesi kwa jambo gumu, upuuzi kama huu ndio ulisababisha Lipumba akaiua CUF
Unajisikiaje sisiemu hiyo hiyo bungeni wanafanya jukumu la wapinzani bungeni alafu nyie mko mtaani mnampigia vigeregere kigogo?Walijisahau na kulewa sifa za wachumia tumbo kina kessy na Mwanry kwa kumuita mtume
SHASHA akishika kijiti kama mwenyekiti wa chama ni lazima afyeke hizi mbegu za hayati na bahati mbaya sijui nani alimshauri akaingiza ile sumu kali ndani Bashiru yule alikuwa kupigwa chini tu maana mzee alishaweka polepole jasusi wake ndani yeye kenda kuongeza kichwa kile. Hivi wabunge wa kuteuliwa huwezi kuwatengua tena. Mama pitisha fagio badili waziri mkuuMipasuko mikubwa CCM.
1. Team SASHA VS Team Mwendazake a.k.a Sukuma Gang
2. Darasa la Saba vs Wasomi.
Sema "kimeumanaaaaa"
Kwani mmeshamaliza 40?Unajisikiaje sisiemu hiyo hiyo bungeni wanafanya jukumu la wapinzani bungeni alafu nyie mko mtaani mnampigia vigeregere kigogo?
Tuliza miruko maana bado upo kwenye EDA.Unajisikiaje sisiemu hiyo hiyo bungeni wanafanya jukumu la wapinzani bungeni alafu nyie mko mtaani mnampigia vigeregere kigogo?
Upo sahihi mkuuSHASHA akishika kijiti kama mwenyekiti wa chama ni lazima afyeke hizi mbegu za hayati na bahati mbaya sijui nani alimshauri akaingiza ile sumu kali ndani Bashiru yule alikuwa kupigwa chini tu maana mzee alishaweka polepole jasusi wake ndani yeye kenda kuongeza kichwa kile. Hivi wabunge wa kuteuliwa huwezi kuwatengua tena. Mama pitisha fagio badili waziri mkuu