Wala sio jambo la afya, nadhani unataka kuficha mparurano huu kwa kutumia kichaka cha 'jambo la afya', ila ni dhahiri kunwa kuna mgawanyiko na kila mtu anaona na kusikiaSasa hivi CCM wanaparuana huko Bungeni ni jambo jema kwa afya ya chama chao, maana kama kuna watu walitaka kwenda nje ya mstari lazima wapewe ukweli.
Nikuweke wazi wewe afande selle, zile albadirr na Itikaf ulizosomewa zimeanza kufanya kazi!Sasa ninyi wapinzani kiuhalisia mna mnamatatizo mengi sana, tena ambayo ili kuweka mambo yenu sawa mlitakiwa muwe mnaparuana bila aibu.
Unadhani ni sahihi (kwa uelewa wako) kulitumia Bunge kwa suala hilo?Kwani wao kuwekana sawa mpaka kuwe na vikao vya chama?
Huna akili kaa kimya. Bungeni wameweka kikao cha chama?Unadhani ni sahihi (kwa uelewa wako) kulitumia Bunge kwa suala hilo?
Labda unisaidie kujua kazi za Bunge la JMT.
Chadema serious ilikuwa ya enzi zetu na dr slaa, hii ya sasa hivi hakuna lolote, sana sana ni porojo tu na matusi.Lakini viongozi Wa CHADEMA wapo kimyaa, Wao busy kupambana na mtu aliyekufa. Sometimes mtu unajiuliza Hawa wapinzani tz wapo serious kweli?
Wewe si tumeambiwa ni msomi wa masters? Sasa dr Bashiru anaingiaje hapa? Mkuu, itendee haki hiyo masters yako, kama kweli unayo.Masikini Dr Bashiru hakika analipwa kwa madhambi aliyo yafanya dhidi ya watanzania kwenye uchaguzi.
Kweli Mungu yupo siku zote na huwa analipa cash kwa muovu.
Bashiru leo hii u Dr wake unahojiwa na kibajaj?
Bila TISS hakuna ccm bishaMtajaza ninyi. Sisi ndo tunakijenga chama chetu kwa njia hiyo
Bwashee soma mtiririko wa uchangiaji basiBila TISS hakuna ccm bisha
Unawajua wauza madawa ya kulevya kweli wewe? Ulishawahi japo kumuona mmoja? Unaongea na kuandika tu kuonesha wewe ni mshamba kiasi gani? Mtu auze madawa ya kulevya awe kama madude? Mbona hata viongozi wa ccm walishawaachia kina BABU SEYA walawiti tena waliothibitishwa na mahakama za juu za nchi na leo wameoa viongozi wa CCM MA DAS?Kumgusa DJ pale jiandae kuhama chama. Saivi tunazurura magerezani kisalimia wauza madawa ya kulevya
Labda masters ya kubanika panya akiwa kwao uko umakondeni.Wewe si tumeambiwa ni msomi wa masters? Sasa dr Bashiru anaingiaje hapa? Mkuu, itendee haki hiyo masters yako, kama kweli unayo.
Na wake na waume za watuNa Mali ya umma
Mbona amekujibu vizuri tu,Sasa wafanyeje?Haya ndiyo mambo ambayo mleta mada kazungumza, nyinyi watu wepesi sana kuwanyooshea vidole wengine, mkiguswa nyie na majibu ya kejeli na vitu kama hivyo. Wewe hujui viongozi wako inabidi wafanye nini kuhusu hili jambo?
Sijui hata kama unajua unachoongea, mijadala ya bungeni ndio sehemu ya kuuimarishia ccm? Kwahiyo chama ili kujirekebisha inabidi kiende bungeni kikajiimarishie humo? Ni sawa na wachezaji wa Yanga wakazozanie kwenye timu ya taifa, kisha wawaambie simba unaona jinsi Yanga wanavyojirekibisha? Najua ww ni mjinga, ila sikujua kama ni mjinga hivi!Upinzani wa Tanzania una kasoro moja, haupendi kukosolewa hata kama una makosa wanayafanya, akitokea mtu akakosoa ataitwa msaliti.
Sasa hivi CCM wanaparuana huko Bungeni ni jambo jema kwa afya ya chama chao, maana kama kuna watu walitaka kwenda nje ya mstari lazima wapewe ukweli.
Sasa ninyi wapinzani kiuhalisia mna mnamatatizo mengi sana, tena ambayo ili kuweka mambo yenu sawa mlitakiwa muwe mnaparuana bila aibu.
Mmejaza wajaza matumbo, wanaokula pesa za ruzuku huku vyama vikisinyaa lakini hamna anaethubutu kuhoji. Mjifunze kukosoa.
Kwani cdm ni covid mpaka imuue huyo jiwe?Since its birth date
Nyerere vs Kambona
kawawa vs watu kibao
Nyerere vs Mtei
fundikira, kasanga tumbo, malecela, name it
CCM ni muunganiko wa tuvyama tudogo tudogo tuko ndani🤣🤣🤣🤣
wakitoka nje wanakuwa wamoja ndani ni maadui wanafikia hata kuuana
Unafikiri CDM ina uwezo wa kumuua JPM? no..never
wao wenyewe 🏃🏃🏃
Nilidhani una akili japo za kuazima.Huna akili kaa kimya. Bungeni wameweka kikao cha chama?
Kumwachia Mungu sio solution mzee, Ufalme wa Mungu unachukuliwa kwa nguvu, siyo kwa kusema namwachia Mungu, Kuna msemo maarufu "Kelele zilimtoa nyoka pangoni", wapige kelele hadi huyo nyoka atoke huko pangoni.Mbona amekujibu vizuri tu,Sasa wafanyeje?
CCM hata ukienda mahakamani kuwashitaki hupati Hali yako,
Uchaguzi umevueugwa hakuna aliefanya lolote,
Katiba imevunjwa kila Mara hakuna wa kufanya lolote.
Wapinzani wamemuachia Mungu na ndio unaona matokeo Sasa.
Hata Mimi sioni chochote wapinzani watafanya juu ya akina mdee.sio maandamano sio mahakamani.
Huyo Jamaa kauuliza ulitaka wafanyeje?
Wewe umechukulia Kama hawapendi kukosolewa,hapana,wapinzani hawana la kufanya zaidi ya kwenda mahakamani.
Mahakama zenyewe ndio hizo Tena mahakamaccm.
Hapo ndipo uimara wa CCM unapoanzia. Na sio Bungeni tu wanaparurana, hata huku mtaani, ofisini na kwenye mitandao, tunaparurana. Mwisho wa siku tunafikia mwafaka na 2024 Serikali za Mitaa na 2025 Uchaguzi Mkuu tunaingia kwa kishindo!Upinzani wa Tanzania una kasoro moja, haupendi kukosolewa hata kama una makosa wanayafanya, akitokea mtu akakosoa ataitwa msaliti.
Sasa hivi CCM wanaparuana huko Bungeni ni jambo jema kwa afya ya chama chao, maana kama kuna watu walitaka kwenda nje ya mstari lazima wapewe ukweli.
Sasa ninyi wapinzani kiuhalisia mna mnamatatizo mengi sana, tena ambayo ili kuweka mambo yenu sawa mlitakiwa muwe mnaparuana bila aibu.
Mmejaza wajaza matumbo, wanaokula pesa za ruzuku huku vyama vikisinyaa lakini hamna anaethubutu kuhoji. Mjifunze kukosoa.