figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Wamechoka kufanyia gizaniMy take: Hili Bomu Linalotengenezwa Siku Likija Kulipuka Asitafutwe Mchawi Kila Kitu Kipo Wazi.
Sipati picha wangekuwa ni cdm ?!Wamechoka kufanyia gizani
CCM ndiyo wahaini tupuSipati picha wangekuwa ni cdm ?!
Uhaini na ugaidi kesi zote zingeunganishwa kwa pamoja.?!
Kweli Hawa umbwa ndio wahaini wakubwa sana!Hawa ndiyo wahaini sasa
Wanakuua mchana kweupeKweli Hawa umbwa ndio wahaini wakubwa sana!
Wanatengeneza ajali yao wenyewe.Hawa Interahamwe wa Mama tuwakemee vikali wanaimba nyimbo kama zile za 1994 Rwanda.
Umekaa kama nyimbo walizoimba intaharamwe,wahutu wa Rwanda,dhidi ya watutsi kabla ya mauaji ya kimbari ya mwaka 1994Video: Tumefikia Huku Kwenye Siasa Za Nchi!? WanaCCM Wanaimba "Wapinzani Wakifa Hatuwezi Kulia Tutawatupa Mtoni Waliwe Na Mamba"
View: https://www.instagram.com/reel/DIyILxst9qo/?igsh=cDZqeXNjbTdzZDEy
My take: Hili Bomu Linalotengenezwa Siku Likija Kulipuka Asitafutwe Mchawi Kila Kitu Kipo Wazi.