Tanzania kwisha habari yake. Utu umetoweka, watu wanatama i watu wafe ili wabakie madarakani.
Huu wimbo unaoimbwa na CCM hakuna kiongozi yoyote wa chama au Serali aliyekemea.
“WAPINZANI WAKIFA SISI HATUWEZI KULIA TUTAWATUPA MTONI WAWE CHAKULA CHA MAMBA”.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kama taifa tutatokaje huku?
Nini kifanyike kuliunganisha taifa?
Nini kifanyike kurudisha umoja wa Watanzania? Kati ya CCM na CHADEMA kuna asiye mpinzani wa mwenzie?
Wasanii angalieni nyimbo zenu.
Hapo ukute kapewa tisheti na kofia aimbe hovyo.
Nyimbo hizi zinaimbwa kwenye uongozi wa Awamu ya Sita ya Rais Samia Suluhu Hassan kuelekea uchaguzi wa 2025.
CCM miili yao chuma wala hawafi.
View attachment 3313486
UPDATE:
Nchimbi akemea -
Balozi Nchimbi apiga marufuku wimbo unaochochea chuki dhidi ya wapinzani